Ooh mybe Tv inanogesha kidogo dear, shkamooKwani haumuonagi kwenye TV n kile kipindi cha PPRA? Pascal Mayalla
Marhaba lakini sidhani kama nastahili kuitikia😂😂😂Sure labda kwasababu si mfuatiliaji sana wa mambo haya, nawewe shkamoo
Marhaba sana haujambo binti yangu?Ooh mybe Tv inanogesha kidogo dear, shkamoo
kama mimi piaJitahidi kufuatilia wapo wengi wa aina hiyo humu ndani
Btw umechelewa sana kumjua
kwani ndio nani?Namsikia sana humu bt kumbe ni mtu mzima tu, sasahivi kabla sija comment chochote humu nitaanza na shkamoo😀, weeh wampe tu Teuzi
anyways ilikuwa poa kumuona, japo nae hajanijua, cheers uncle
Weka Steve Nyerere na Mzee mayalla.😀 Hujui tu
Namsikia sana humu bt kumbe ni mtu mzima tu, sasahivi kabla sija comment chochote humu nitaanza na shkamoo😀, weeh wampe tu Teuzi
anyways ilikuwa poa kumuona, japo nae hajanijua, cheers uncle
Mtu wa maana kabisa weweekama mimi pia