Leo ndio mwisho wa kutazama TBC, asante kwa muda wote wa Kombe la Dunia, tutaonana tena 2018

sishabikii vurugu but huwa sisapoti wezi mimi.mmetuibia kwenye madini tukasema sawa,sasa hivi mmengilia mafuta na gesi.ndo unataka nisapoti huo upuuzi?

Nenda tu mkuu, mimi wala si muumini wa wanaoponda vya kwao. Ningekuelewa km unge critisize tbc kwa kutwambia wanakukera nini na namna ya kurekebisha. Tbc na wakuu wao na hata watendaji wa nje wenye nguvu wanaoweza kukiadabisha kituo hicho wamo ndani ya jf. Ningefurahi tungeendelea kupigana popote ili tujenge chombo cha kitaifa hata km itatugharimu. Kinachonikera ni ushabiki wa vitu vya nje na kuponda vya nchi hii ambako tumezaliwa, tumekulia na tutazikwa. Sitaki na wala sintotaka kubadili jiwe kuwa mkate!
 
tv ya chama haiwzikubadiliak.hebu angalia kipindi kilichopo hewani uone kama kina tija kwa taifa hili.rasilimali na muda wa watz unavyotumika.ndo unasema nishabikie huu upuuzi?
 
TBC kwangu niliipiga Ban miaka minne iliyopita. Juzi nililegeza masharti kwa ajili ya kombe la dunia. Leo ni mwisho wangu kuiangalia tbc
 
Mwalimu Kashasha nitakumis Mwalimu unaeujua mpira na kuchambua kiufundi zaidi na sio ushabiki.
 
Hivi leo kuna watu intellectual wanaangali tbc?
Mi ntaangalia tbc Lowasa akirudi uwanjani nadhani hakutakuwa na ujinga kama uliopo.
 
tv ya chama haiwzikubadiliak.hebu angalia kipindi kilichopo hewani uone kama kina tija kwa taifa hili.rasilimali na muda wa watz unavyotumika.ndo unasema nishabikie huu upuuzi?

Fungua UBC au yoyote hata ya Burundi ila acha kuushawishi umma kana kwamba unatafuta ubunge! Mi sitaki kusikia mambo ya chama kwa kuwa hata sioni chama halisi. Afu mi nakushauri, uanzishe tv ya kwako ili tuone ukiweka hayo masuala unayoita ya rasilimali. Mi naangalia kwny tv yoyote ili mradi ikidhi ninachohitaji ktk muda huo. Na wala si mfuasi wa mob psychology aina ya bendera ifuatayo upepo! Kamwe kwangu tz ilikuwepo, ipo na itakuwepo sana tu!
 
nakuunga mkono sasa baada ya kutoka kwenye kile ulichokuwa unataka kukitetea.
 
!
!
kwa kweli na mimi naiaga rasmi leo na nadhani kombe la dunia lijajo inshaalah Mungu atujalie uhai nitakuwa na dstv kwa hiyo sitawahitaji. Ahsante tbc na kwa herini.
 
Hata mimi leo naiaga tbc leo na sikuwai kuiangalia zaidi ya bunge tena wakati wapinzani wakiwa ndani wakitoka naamisha channel na hili kombe la dunia tu ndo nimefungua tbc bas byebye!
 
Watuonyeshe mechi ya Taifa stars vs Msumbiji....nitawapa thumb up:A S thumbs_up:
 
Back
Top Bottom