we buswelu DMX ana wimbo gani mpya au 7bu anatoka marekan?kuwa mtetez wa hak za wa2 wanaotafuta sio kuendelea kuwaunga mkono hawa makupe(clouds entertainment)
ukitaka kujua leo vinega ni noma angalia sasa hivi break point hapa kinyama palivyo jaa. watu wanasubili mida ifike waingie kati. mi nipo huku juu ghorofani mzalendo pub nasubili mida.karibuni. mia