Bukayo Saka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 273
- 417
Wana utani hawa vibopa halafu wangejua wamemu attack mtu mwenye uchumi gani nadhani wangezi descript wenyewe😂😂😂😂wanataka ela kubwa kuliko gharama ya pc mtu anayotumia asee
Ukihangaika unaweza kupata decryption keys, maana wengi washalizwa na pengine kuna ambao wameishaicrack hio encryption. Ila sio 100% unaweza fanikiwa.Mkuu kuna wale virus wa ransomware wanaokuja na extension ya QSCX hawa walibutua ma files yangu yote nilichoweza ku retreive ni audio tu, the rest ni msala
Hawa virus wanatumiwa na hackers ambapo wakishakupiga wanakuachia readme note wanayo demand pesa ili waweze kukupa description key ya ku access files zako
Kuna namna yeyote ya ku fix aina hii ya virus?
mimi disk ilibidi nitenge moja nimeeka ssd umo ndio nadownload na kuinstall vitu ila nina hdd ya 1tb iyo sigusi uko kuna essentials zangu na zote ziko zipped maana haya mambo hayana ujanja kuna dogo nimpa pc atumie akataka adownload game ilikuaga fifa 19 wajomba wakaja toka iyo siku nimepataga somo..Wana utani hawa vibopa halafu wangejua wamemu attack mtu mwenye uchumi gani nadhani wangezi descript wenyewe
hiyo ku rename lilikuwa wazo la kwanza kabisa lakini waapiUkihangaika unaweza kupata decryption keys, maana wengi washalizwa na pengine kuna ambao wameishaicrack hio encryption. Ila sio 100% unaweza fanikiwa.
Na wengine hawa decrypt wana rename tu hayo mafile kabla ya kuhangaika jaribu kubadili extension ya file kwanza.
unakuta mtu una CORE 2 DUO ram 2 gb hdd 320wanataka ela kubwa kuliko gharama ya pc mtu anayotumia asee
Kivip broUbaya windows 10 sio reliable kwa mazingira yetu.