Leo nazungumzia virus aina ya Shortcuts

Mfano mtu mwenye matumizi ya data za kuunga unga windows 10 haimfai.
connect na wifi then eka metered connection apo utakua unatumia mamboyako fresh bila kuliwa bundle na updates. Screenshot 2022-03-16 135920.png
 
😂😂😂😂wanataka ela kubwa kuliko gharama ya pc mtu anayotumia asee
Wana utani hawa vibopa halafu wangejua wamemu attack mtu mwenye uchumi gani nadhani wangezi descript wenyewe
 
Mkuu kuna wale virus wa ransomware wanaokuja na extension ya QSCX hawa walibutua ma files yangu yote nilichoweza ku retreive ni audio tu, the rest ni msala

Hawa virus wanatumiwa na hackers ambapo wakishakupiga wanakuachia readme note wanayo demand pesa ili waweze kukupa description key ya ku access files zako

Kuna namna yeyote ya ku fix aina hii ya virus?
Ukihangaika unaweza kupata decryption keys, maana wengi washalizwa na pengine kuna ambao wameishaicrack hio encryption. Ila sio 100% unaweza fanikiwa.

Na wengine hawa decrypt wana rename tu hayo mafile kabla ya kuhangaika jaribu kubadili extension ya file kwanza.
 
Wana utani hawa vibopa halafu wangejua wamemu attack mtu mwenye uchumi gani nadhani wangezi descript wenyewe
mimi disk ilibidi nitenge moja nimeeka ssd umo ndio nadownload na kuinstall vitu ila nina hdd ya 1tb iyo sigusi uko kuna essentials zangu na zote ziko zipped maana haya mambo hayana ujanja kuna dogo nimpa pc atumie akataka adownload game ilikuaga fifa 19 wajomba wakaja toka iyo siku nimepataga somo.. Screenshot 2022-03-16 144045.png
 
Ukihangaika unaweza kupata decryption keys, maana wengi washalizwa na pengine kuna ambao wameishaicrack hio encryption. Ila sio 100% unaweza fanikiwa.

Na wengine hawa decrypt wana rename tu hayo mafile kabla ya kuhangaika jaribu kubadili extension ya file kwanza.
hiyo ku rename lilikuwa wazo la kwanza kabisa lakini waapi

Huyu virus ni hatari katika record za kukumbwa na virus nilikuwa victim kwenye files zangu za kawaida lakini zile nilizozipiga RAR zilikuwa salama

Lakini kwa huyu ransomware imezipitia zote na hata nilipojaribu kufuta hiyo extansion na kuzi rename bado ilikuwa ngumu ku access
 
Back
Top Bottom