Beni yupo katulizwa,ww hofu ya nn
Chakula kizuri apewa,huduma zote hata malazi
Siku atakapo kuja,lazima kuusema ukweli
Ben yupo salama,kapumzishwa mahal
Muda utakapo fika,nyumban atarejea
Beni yupo katulizwa,ww hofu ya nn
Chakula kizuri apewa,huduma zote hata malazi
Siku atakapo kuja,lazima kuusema ukweli
Ben yupo salama,kapumzishwa mahal
Muda utakapo fika,nyumban atarejea
Imeniuma saana huko aliko mungu ajaze ujasiri. Lakini watesi wake wa kumbuke jinsi walivyo anza ndivyo watavyo maliza. Kila nafasi itasalimu amri mbele ya jemedari mauti sisi wote ni watoto wa baba mmoja kiimani