Leo nawatukana!

Wewe kijana tulia
Wenzako tunajua
Acha zako kelele
Nenda kabebe zege
Wenzako tunajua tunashindwa kugagadua
Kazi yako ni uganga
Ofisi yako iko tabata
Tulia Fanya yako. Watoto wale bata
 
tafuta kazi we pumbavu,badala ya kuandika kitabu "how to be rich`"au ujasisiriamali uuze km mwenzio shigongo we unaleta mashairi ya sa nane,huyo ushaambiwa na wenyewe manyumbu yupo mzima wa afya na vijiwe vyake vya kahawa anaonekana,msitupotezee muda nyumbu
 
Beni keshapotea kama farujoni
Hataandika tena phd yake joni
Wauza tisheti feza waesabu jioni
Gazeti laandika anywa kahawa jioni
tuamini atapatikana hata kama jioni.
 
Kuna wale misukule, waliofugwa akili,
Na wamefungwa kengele,na hawa watu katili,
kazi kupiga kelele,si wa moja si wa mbili,
Ndiyo wanaowadekeza.
 

Unajua Mkuu!
 
Deko lao makatili, chanzo chake sisi sisi,
tunapokubali dhalili,na ladha ya ukakasi,
Wabaya tumekubali, tumewapa ukasisi,
Hilo ndiyo kosa letu.
 
Mwenyekiti katangaza, ukurasa amefunga,
Acha domo kusambaza, wabaya watamzonga,
Mbowe keshawamaliza, chake chama kinasonga.

Mbona wewe hajakumaliza??Un akili kama za wenzko Mafisi
 
Acheni wenu uzushi,
wenzenu hawakanushi,
hawaleti kashikashi,
uvundo msinakshi,
wanajua walotenda.

Tabia yenu asili,
mnapenda kubadili,
kile kilicho halali,
mnakifanya dhalili,
Ben mrudisheni.

Awe hai awe mfu,
kwetu hajatukifu,
msijipe utukufu,
mkatuvika upofu,
Mnahusika.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…