Leo National Stadium: Simba SC vs Azam FC

Leo National Stadium: Simba SC vs Azam FC

Joined
Mar 11, 2013
Posts
38
Reaction score
7
Baada ya jana kushuudia mchezo na Yanga kuibuka na ushindi mnono wa goli 3 - 0 dhidi ya Oljoro JKT,leo tena jioni tutashuhudia mtu na wifi wakimenyana kinafiki uwanja wa Taifa
mara nyingi sana mechi ya Simba na Azam huwa inapoteza radha kabisa kutokana na kucheza kiwifi wifi
:msela:
 
Huenda tukashuhudia mechi nzuri sana leo. Leo hakuna uwifi kwenye mechi hii labda Simba aachie ili kuongeza mgogoro wao na Maharage. Azam wana lengo moja tu la kupata pointi tatu ili kuuchuchumilia ubingwa, kitendo cha Azam kufungwa au sare ni kusaidia Yanga kutangaza ubingwa mapema. Kwa hali hii, leo ni man to man, mnhu na mnhu na ng'ato gi ng'ato.
 
Leo sijui kama Simba atachomoka kwa Azam...
 
leo ndo leo mnyama unyamani baada ya makirikiri ya jana pale taifa karibuni wote leo muone soka ya kichotara uku julio kule mfaransa njooni muone sambusa za kutoka PARIS uku ngasa pale kazimoto kule sunzu pembeni semese chini kidogo kapombe ni burudani inayostahili kulipiwa, njooni muone boko , tchete na sureboy wakiomba msaada wa kamanda Kova kutafuta mpira, njooni muone wale walifunguliwa wakirudishwa tena TAKUKURU, mpira starehe mnyama nguvu moja
 
Mkuu Makoye Matale mechi ya leo kuwa nzuri au mbaya ilitazamiwa matokeo ya ya jana,kama Yanga ingefungwa jana au droo basi leo Simba angerushu LIBOLO la Azam limpelembe ili kuikomoa zaidi Yanga,sasa ushindi wa jana kwa Yanga labda uwifi leo hautakuwepo ili Simba alinde apunguze mgogoro.But it's just my assumption
ila 90% leo simba ataibeba Azam maana haina maana kwake akishinda ama akifungwa,nawashauri kama huna kazi ya kufanya kaangalie mazoezi leo uwanja wa taifa
 
hahahaaaaaaaaaaaaaaa. wewe ni Rage ?
leo ndo leo mnyama unyamani baada ya makirikiri ya jana pale taifa karibuni wote leo muone soka ya kichotara uku julio kule mfaransa njooni muone sambusa za kutoka PARIS uku ngasa pale kazimoto kule sunzu pembeni semese chini kidogo kapombe ni burudani inayostahili kulipiwa, njooni muone boko , tchete na sureboy wakiomba msaada wa kamanda Kova kutafuta mpira, njooni muone wale walifunguliwa wakirudishwa tena TAKUKURU, mpira starehe mnyama nguvu moja
 
Leo ni patamu, naipenda Yanga, Simba akifungwa, Azam inatusogelea. Simba akifunga nabata uchungu nisaidieni
 
Unamaneno mengi sana wewe. ila simba wanapigwa LIBOLO kama kawa. mimi nitakuwa uwanjani tutafutane uwanjani ili tushuhudie pamoja maboloa yakiingia
Rage kufuata nin mkuu we njoo uwanjani uone 1kiemba= 5Niyonzima
 
Kwa kuwa Lunyasi hatuna undugu na Yanga. Acha leo tumbebe mwanetu Azam achungulie ubingwa. Kipre leo tunakuruhusu utupie kama hauna akili nzuri. Msimbazi hatutaki ubingwa wala nafasi ya pili.
 
Unamaneno mengi sana wewe. ila simba wanapigwa LIBOLO kama kawa. mimi nitakuwa uwanjani tutafutane uwanjani ili tushuhudie pamoja maboloa yakiingia

Azam uwezo wa kumfunga simba hana 2najipigia uyo ni mke we2 wa ndoa
 
Hayo ni maneno tu hatakwenye kanga yapo. baada ya dk 90 tutatafutana tujue kati ya SIMBA na AZAMU ninani mke na ni nani mume?
Azam uwezo wa kumfunga simba hana 2najipigia uyo ni mke we2 wa ndoa
 
Hayo ni maneno tu hatakwenye kanga yapo. baada ya dk 90 tutatafutana tujue kati ya SIMBA na AZAMU ninani mke na ni nani mume?

2tafutane mkuu ntakulipia na nauli ya kwenda nyumban
 
Sihitaji kulipiwa kwani I will be with my private Suzuki hahahahaaa
Code:

ntakusaidia ata mafuta maana utakuwa unabung'aa huwamin kilichotokea ogopa sana mnyama akiwa anatafuta heshima
 
Back
Top Bottom