LEO NASIKIA MWEPE LAKINI MMMH

LEO NASIKIA MWEPE LAKINI MMMH

usijali mtoa mada, siku hz hatuziki watu wanaokufa kwa ujinga, tunakutupa mtaroni uliwe na nyungunyungu.
 
Haha mnaambiwa mbaki chama la Punyeto amtaki ona sasa usalama wa taifa umepazukia Lindo. Hapo auwezi pata mkuu uko salama kabisa labda kama ulikula romance hapo tunasema umejitia dole jichoni bila kujua
Hapana sijafanya naye Romance kabisa ni kupapasana tu kwa mikono

Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
 
Sasa kama yuko poa anaogopa nini pima hahha haya mambo bana yanachekesha sana aseh mtu anaejiamini hawezi ogopa pima

Me nilienda nunua kipimo nijipime dada akawa anazingua nikamwambia Aya dunga nipime akadunga akanipima Sasa hii yako kali kuna namna apo

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani Demu akikataa kupima mm moja kwa moja najua anao tu au ni micheouko sana so anakua ajiamini

Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
 
Back
Top Bottom