Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,315
- 46,858
Pamoja mkuu mzi kafia kwenye kidond
ha ha ha ha ha Je kwa upande wako wewe vupimo utakavyokutana navyo mbele ya safari itakuaje MkuuIla hawa wadada ndio maana rate ya kuwa na VVU kwa upande wao ni kubwa sana....
Yaani mtafanya romance wakati wa kuanza mechi uvae usivae yeye hana habari....
Na mimi kama haulizi huwa napeleka moja kwa moja vipimo atakavyokutana navyo huko mbele ya safari asije kujilaumu....
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha ha niletee pen na karatasi nyeupeAndika wosia!
Daaah mwanangu huruma ilishakupita kushoto kabisa, hata pole hakuna unamsindikiza kaburini tu.
Ni wapi labda nilipoandika tofauti onyesha wewe mm sioni tofauti yoyoteKWANZA UNA MIAKA MINGAPI??? MAANA SIYO KWA HUU MWANDIKO... HEBU RUDIA KUSOMA ULICHOANDIKA MKUU...
Sent from my VKY-L29 using Jamii Forums mobile app
Sasa kama yuko poa anaogopa nini pima hahha haya mambo bana yanachekesha sana aseh mtu anaejiamini hawezi ogopa pimaSawa mkuu maana mwenyewe ananiambia yeye yuko poa labda mm tu
Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
Duh mkuu mbona unahatariIla hawa wadada ndio maana rate ya kuwa na VVU kwa upande wao ni kubwa sana....
Yaani mtafanya romance wakati wa kuanza mechi uvae usivae yeye hana habari....
Na mimi kama haulizi huwa napeleka moja kwa moja vipimo atakavyokutana navyo huko mbele ya safari asije kujilaumu....
Sent using Jamii Forums mobile app