Leo naoa, karibuni sana Wakuu

Leo naoa, karibuni sana Wakuu

SILLENT KILLER 2

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2024
Posts
414
Reaction score
700
Wakuu habr za siku nyingi mimi kama mimi sillent killer 2 kijana peace leo naoa.bdo umri wangu wakawaida (21) sana lakini kutokana na majukumu nimeamua kuvuta jiko mapema.Mungu bless my family and all around me....
 
Safii,
God gonna bless you, Mwanamke sasa
 
Hongera sana, ikawe ndoa njema na yenye baraka na masikilizano daima.
 
Sawa utarudi humu hivi karibuni tukupe ushauri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom