Leo naleta mrejesho kwa huyu msichana wa kilokole

Kwanza poleni kwa msiba uliotukumbu sisi site wa kuondokewa na mpendwa wetu Rais JPM Mungu atutie nguvu kipindi hiki kigumu.Leo naomba niletr mrejesho wa uzi wangu nilioandika hapa takribani miezi kadhaa iliyopita.

Awali ya yote nitoe shukurani zangu za dhati kwa michango yenu kwa uzi uliopita, ambao hamkuweza kusoma huu uzi mwanzoni,basi mnaweza upitia hapa Yamenikuta kwa huyu msichana, naomba ushauri wenu .

Pamoja na michango yenu lakini sikuacha kufanya mawasiliano na huyu binti na mpaka ninavyoandika hapa jana tu nimetoka tukibadilishana nae mawili matatu kuhusiana na kile tulichokua tukijalidili mwanzoni kama mlivyosoma kwenye uzi hapo juu.

Kwa awamu nyingine Jana nimebahatika kwenda kwake na kuongea mambo mengi lakini kubwa kabisa ni kukumbushia kuhusu swala letu la mahusiano. Kumbuka tulipokutana kwa mala ya mwisho alinijibu kwamba hawezi kuolewa wala kuwa na mahusiano na Mwanaume asiye wa dhehebu lake (asiye okoka) na hakutaka mtu aokoke kwa kigezo cha kumfata au kumpata yeye yaani tayari awe anaishi kwenye dini hiyo.

Jana nilipoonana naye nilijaribu kukumbushia hili suala,alichojibu ni kwamba hawezi kusema chochote kinachohusuana na mahusiano au kuolewa mpaka suala la kubadili dini kwa mimi lifanyike halafu suala lingine lifuate.Hii inaama kwamba kwa sasa hatuwezi kujadili au kutoa jibu la moja kwa moja juu ya kuoana au mahusiano mpaka suala la kwanza lifanyike yaani la mimi kuokoka.

Binafsi sijamwelewa huyu mwanamke ana maana gani na itoshe pale kwake anakaa pekeyake karibu nyumba nzima na ikitokea mimi naenda pale, yeye ananikaribisha nje ,akijibu kwamba yeye ni mtumishi wa Mungu so hawezi kumkaribisha mwanaume ndani ilihali hamna watu wengine pale ndani ,atanikaribisha tu endapo ndani patakua na mtu mwingine watu 3 na sio watu 2.

Kiujumla sijaelewa kabisa juu ya huyu msichana naleta huu mrejesho ili tuendelee kujadili kidogo juu ya hii kitu kwa sababu naamini kuna jf ndio kila kitu na kuna manguli wa haya mambo.Mniwie radhi sio mzuri sana wa kuandika wadau.
Ndugu mm ni mlokole nimezaliwa huko nimekulia huko, lakin nakushauri kwa majibu hayo unayopewa hata ukibadili dini anaweza asije akawa mke sahihi kwako. Wanawake wengi wa hivyo siyo wife materials kivile kama wanavyodai wako kwa Muungu zaidi. Wanakua ba tabia za kujisahau na kusikiliza viongozi wao wa kanisa kuliko ww mume wako. Ila kwa ufupi punguza kasi kama unaweza kutafuta mbadala itakua vizuri zaidi. Kwenye ndoa unahitaji mtu anaekuelewa zaidi na anaeishi Maisha halisi na si ya kujificha nyuma ya kivuli cha dini.
 
Nadhani wewe ndio mwenye matatizo. Binti ameshatoa msimamo wake na kukupa mwelekeo wa kufuata ikiwa unataka kumuoa, sasa kipi cha ajabu?
Wewe ulitakaje?
Kama unaona huwezi kufuata hayo masharti yake basi achana naye, heshimu imani yake na msimamo wake. Nenda katafute msichana mwingine ili umuoe.

Acha tabia ya kumuanika huyo binti hapa JF kwa sababu ya misimamo yake.
 
Ni kweli mkuu toka mwaka huo ,kiujumla moyo upo kwa huyu mwanamke ,nafsi imempenda kwa dhati.
Cha kukusaidia soma nyuzi hizi
 
Kwanza poleni kwa msiba uliotukumbu sisi site wa kuondokewa na mpendwa wetu Rais JPM Mungu atutie nguvu kipindi hiki kigumu.Leo naomba niletr mrejesho wa uzi wangu nilioandika hapa takribani miezi kadhaa iliyopita.

Awali ya yote nitoe shukurani zangu za dhati kwa michango yenu kwa uzi uliopita, ambao hamkuweza kusoma huu uzi mwanzoni,basi mnaweza upitia hapa Yamenikuta kwa huyu msichana, naomba ushauri wenu .

Pamoja na michango yenu lakini sikuacha kufanya mawasiliano na huyu binti na mpaka ninavyoandika hapa jana tu nimetoka tukibadilishana nae mawili matatu kuhusiana na kile tulichokua tukijalidili mwanzoni kama mlivyosoma kwenye uzi hapo juu.

Kwa awamu nyingine Jana nimebahatika kwenda kwake na kuongea mambo mengi lakini kubwa kabisa ni kukumbushia kuhusu swala letu la mahusiano. Kumbuka tulipokutana kwa mala ya mwisho alinijibu kwamba hawezi kuolewa wala kuwa na mahusiano na Mwanaume asiye wa dhehebu lake (asiye okoka) na hakutaka mtu aokoke kwa kigezo cha kumfata au kumpata yeye yaani tayari awe anaishi kwenye dini hiyo.

Jana nilipoonana naye nilijaribu kukumbushia hili suala,alichojibu ni kwamba hawezi kusema chochote kinachohusuana na mahusiano au kuolewa mpaka suala la kubadili dini kwa mimi lifanyike halafu suala lingine lifuate.Hii inaama kwamba kwa sasa hatuwezi kujadili au kutoa jibu la moja kwa moja juu ya kuoana au mahusiano mpaka suala la kwanza lifanyike yaani la mimi kuokoka.

Binafsi sijamwelewa huyu mwanamke ana maana gani na itoshe pale kwake anakaa pekeyake karibu nyumba nzima na ikitokea mimi naenda pale, yeye ananikaribisha nje ,akijibu kwamba yeye ni mtumishi wa Mungu so hawezi kumkaribisha mwanaume ndani ilihali hamna watu wengine pale ndani ,atanikaribisha tu endapo ndani patakua na mtu mwingine watu 3 na sio watu 2.

Kiujumla sijaelewa kabisa juu ya huyu msichana naleta huu mrejesho ili tuendelee kujadili kidogo juu ya hii kitu kwa sababu naamini kuna jf ndio kila kitu na kuna manguli wa haya mambo.Mniwie radhi sio mzuri sana wa kuandika wadau.
Umeleta mrejesho Au unaomba ushauri tena kwa mara 2.
 
Ndugu mm ni mlokole nimezaliwa huko nimekulia huko, lakin nakushauri kwa majibu hayo unayopewa hata ukibadili dini anaweza asije akawa mke sahihi kwako. Wanawake wengi wa hivyo siyo wife materials kivile kama wanavyodai wako kwa Muungu zaidi. Wanakua ba tabia za kujisahau na kusikiliza viongozi wao wa kanisa kuliko ww mume wako. Ila kwa ufupi punguza kasi kama unaweza kutafuta mbadala itakua vizuri zaidi. Kwenye ndoa unahitaji mtu anaekuelewa zaidi na anaeishi Maisha halisi na si ya kujificha nyuma ya kivuli cha dini.
Unajua wanasema mapenzi ni upofu. Mtu akishapenda, hata umshauri nini sanasana unakua unapoteza mda wako tu yeye wala hawezi kukusikiliza. Hata huyu jamaa yetu hapa inaonekana maamuzi ameshafanya hapa amekuja kutuchora tu na kutafuta sapport. Mimi nafikiri yeye aendelee kumfatilia huyo mlokole na ikiwezekana amuoe kabisa. Mengine tumuache ataenda kupambana nayo huko ndani ya ndoa.
 
Kwanza poleni kwa msiba uliotukumbu sisi site wa kuondokewa na mpendwa wetu Rais JPM Mungu atutie nguvu kipindi hiki kigumu.Leo naomba niletr mrejesho wa uzi wangu nilioandika hapa takribani miezi kadhaa iliyopita.

Awali ya yote nitoe shukurani zangu za dhati kwa michango yenu kwa uzi uliopita, ambao hamkuweza kusoma huu uzi mwanzoni,basi mnaweza upitia hapa Yamenikuta kwa huyu msichana, naomba ushauri wenu .

Pamoja na michango yenu lakini sikuacha kufanya mawasiliano na huyu binti na mpaka ninavyoandika hapa jana tu nimetoka tukibadilishana nae mawili matatu kuhusiana na kile tulichokua tukijalidili mwanzoni kama mlivyosoma kwenye uzi hapo juu.

Kwa awamu nyingine Jana nimebahatika kwenda kwake na kuongea mambo mengi lakini kubwa kabisa ni kukumbushia kuhusu swala letu la mahusiano. Kumbuka tulipokutana kwa mala ya mwisho alinijibu kwamba hawezi kuolewa wala kuwa na mahusiano na Mwanaume asiye wa dhehebu lake (asiye okoka) na hakutaka mtu aokoke kwa kigezo cha kumfata au kumpata yeye yaani tayari awe anaishi kwenye dini hiyo.

Jana nilipoonana naye nilijaribu kukumbushia hili suala,alichojibu ni kwamba hawezi kusema chochote kinachohusuana na mahusiano au kuolewa mpaka suala la kubadili dini kwa mimi lifanyike halafu suala lingine lifuate.Hii inaama kwamba kwa sasa hatuwezi kujadili au kutoa jibu la moja kwa moja juu ya kuoana au mahusiano mpaka suala la kwanza lifanyike yaani la mimi kuokoka.

Binafsi sijamwelewa huyu mwanamke ana maana gani na itoshe pale kwake anakaa pekeyake karibu nyumba nzima na ikitokea mimi naenda pale, yeye ananikaribisha nje ,akijibu kwamba yeye ni mtumishi wa Mungu so hawezi kumkaribisha mwanaume ndani ilihali hamna watu wengine pale ndani ,atanikaribisha tu endapo ndani patakua na mtu mwingine watu 3 na sio watu 2.

Kiujumla sijaelewa kabisa juu ya huyu msichana naleta huu mrejesho ili tuendelee kujadili kidogo juu ya hii kitu kwa sababu naamini kuna jf ndio kila kitu na kuna manguli wa haya mambo.Mniwie radhi sio mzuri sana wa kuandika wadau.
Nampongeza sana huyo dada kw amsimamo thabiti kweli ameokoka Mungu ambariki
 
Wewe ni domo zege, kitendo cha huyo demu kusema hawezi kuingia ndani mkiwa wawili tu maana yake anajijua akiwa eneo hatarishi hawezi kuzuia nyege zake, hapo nakushauri kufanya kama vile uko tayari kuhamia kwenye dini yake na ikibidi anza kumuuliza kuhusu mambo ya dini yake kama ni mkristo basi tafuta hata vifungu vi2 au v3 vya biblia upate mada ya kuongea, mkiwa wawili usiweke habari za mahusiano atajenga confidence na wewe siku akijisahau tu unampiga bolo zile dizain za kulana kiutani baadae mnamsingizia shetani.
 
Kwanza poleni kwa msiba uliotukumbu sisi site wa kuondokewa na mpendwa wetu Rais JPM Mungu atutie nguvu kipindi hiki kigumu.Leo naomba niletr mrejesho wa uzi wangu nilioandika hapa takribani miezi kadhaa iliyopita.

Awali ya yote nitoe shukurani zangu za dhati kwa michango yenu kwa uzi uliopita, ambao hamkuweza kusoma huu uzi mwanzoni,basi mnaweza upitia hapa Yamenikuta kwa huyu msichana, naomba ushauri wenu .

Pamoja na michango yenu lakini sikuacha kufanya mawasiliano na huyu binti na mpaka ninavyoandika hapa jana tu nimetoka tukibadilishana nae mawili matatu kuhusiana na kile tulichokua tukijalidili mwanzoni kama mlivyosoma kwenye uzi hapo juu.

Kwa awamu nyingine Jana nimebahatika kwenda kwake na kuongea mambo mengi lakini kubwa kabisa ni kukumbushia kuhusu swala letu la mahusiano. Kumbuka tulipokutana kwa mala ya mwisho alinijibu kwamba hawezi kuolewa wala kuwa na mahusiano na Mwanaume asiye wa dhehebu lake (asiye okoka) na hakutaka mtu aokoke kwa kigezo cha kumfata au kumpata yeye yaani tayari awe anaishi kwenye dini hiyo.

Jana nilipoonana naye nilijaribu kukumbushia hili suala,alichojibu ni kwamba hawezi kusema chochote kinachohusuana na mahusiano au kuolewa mpaka suala la kubadili dini kwa mimi lifanyike halafu suala lingine lifuate.Hii inaama kwamba kwa sasa hatuwezi kujadili au kutoa jibu la moja kwa moja juu ya kuoana au mahusiano mpaka suala la kwanza lifanyike yaani la mimi kuokoka.

Binafsi sijamwelewa huyu mwanamke ana maana gani na itoshe pale kwake anakaa pekeyake karibu nyumba nzima na ikitokea mimi naenda pale, yeye ananikaribisha nje ,akijibu kwamba yeye ni mtumishi wa Mungu so hawezi kumkaribisha mwanaume ndani ilihali hamna watu wengine pale ndani ,atanikaribisha tu endapo ndani patakua na mtu mwingine watu 3 na sio watu 2.

Kiujumla sijaelewa kabisa juu ya huyu msichana naleta huu mrejesho ili tuendelee kujadili kidogo juu ya hii kitu kwa sababu naamini kuna jf ndio kila kitu na kuna manguli wa haya mambo.Mniwie radhi sio mzuri sana wa kuandika wadau.
Si ukishasema kuwa umeamua kumuacha Sasa unauliza nini tena?.Hebu kuwa na msimamo basi.
 
wewe ni domo zege ee, uyo dem amekua mama yako as if ni yeye pekee dunia nzima ?
 
Ndugu mm ni mlokole nimezaliwa huko nimekulia huko, lakin nakushauri kwa majibu hayo unayopewa hata ukibadili dini anaweza asije akawa mke sahihi kwako. Wanawake wengi wa hivyo siyo wife materials kivile kama wanavyodai wako kwa Muungu zaidi. Wanakua ba tabia za kujisahau na kusikiliza viongozi wao wa kanisa kuliko ww mume wako. Ila kwa ufupi punguza kasi kama unaweza kutafuta mbadala itakua vizuri zaidi. Kwenye ndoa unahitaji mtu anaekuelewa zaidi na anaeishi Maisha halisi na si ya kujificha nyuma ya kivuli cha dini.
Ubarikiwe kwa ushauri ndugu ,kwahiyo unataka kusema wanawake wa kilokole karibu wote hawana mapenzj halisi kwa waume wao?
 
Kwanza poleni kwa msiba uliotukumbu sisi site wa kuondokewa na mpendwa wetu Rais JPM Mungu atutie nguvu kipindi hiki kigumu.Leo naomba niletr mrejesho wa uzi wangu nilioandika hapa takribani miezi kadhaa iliyopita.

Awali ya yote nitoe shukurani zangu za dhati kwa michango yenu kwa uzi uliopita, ambao hamkuweza kusoma huu uzi mwanzoni,basi mnaweza upitia hapa Yamenikuta kwa huyu msichana, naomba ushauri wenu .

Pamoja na michango yenu lakini sikuacha kufanya mawasiliano na huyu binti na mpaka ninavyoandika hapa jana tu nimetoka tukibadilishana nae mawili matatu kuhusiana na kile tulichokua tukijalidili mwanzoni kama mlivyosoma kwenye uzi hapo juu.

Kwa awamu nyingine Jana nimebahatika kwenda kwake na kuongea mambo mengi lakini kubwa kabisa ni kukumbushia kuhusu swala letu la mahusiano. Kumbuka tulipokutana kwa mala ya mwisho alinijibu kwamba hawezi kuolewa wala kuwa na mahusiano na Mwanaume asiye wa dhehebu lake (asiye okoka) na hakutaka mtu aokoke kwa kigezo cha kumfata au kumpata yeye yaani tayari awe anaishi kwenye dini hiyo.

Jana nilipoonana naye nilijaribu kukumbushia hili suala,alichojibu ni kwamba hawezi kusema chochote kinachohusuana na mahusiano au kuolewa mpaka suala la kubadili dini kwa mimi lifanyike halafu suala lingine lifuate.Hii inaama kwamba kwa sasa hatuwezi kujadili au kutoa jibu la moja kwa moja juu ya kuoana au mahusiano mpaka suala la kwanza lifanyike yaani la mimi kuokoka.

Binafsi sijamwelewa huyu mwanamke ana maana gani na itoshe pale kwake anakaa pekeyake karibu nyumba nzima na ikitokea mimi naenda pale, yeye ananikaribisha nje ,akijibu kwamba yeye ni mtumishi wa Mungu so hawezi kumkaribisha mwanaume ndani ilihali hamna watu wengine pale ndani ,atanikaribisha tu endapo ndani patakua na mtu mwingine watu 3 na sio watu 2.

Kiujumla sijaelewa kabisa juu ya huyu msichana naleta huu mrejesho ili tuendelee kujadili kidogo juu ya hii kitu kwa sababu naamini kuna jf ndio kila kitu na kuna manguli wa haya mambo.Mniwie radhi sio mzuri sana wa kuandika wadau.
We unataka kumuoa??? Kama unataka tu papuchi mbona kitaa zipo nyingi unahangaika na hiyo papuchi ambayo haieleweki....unahangaika weee siku ukipewa mechi unaondoka na kaswende....jiongeze mzee baba hii dunia ya sasa ni ya mwendo kasii!! Sasa we kama unajongea kama kinyonga tutakupoteza!!
 
Hahahaa nimecheka kwa sauti sana
 
Ni kweli mkuu toka mwaka huo ,kiujumla moyo upo kwa huyu mwanamke ,nafsi imempenda kwa dhati.
Kwahiyo hapo ulipo hauna moyo au! Wanaume wa siku hizi hatuhangaishwi na mwanamke mmoja!! Hizi zama ni kuchagua tu papuchi ila hakikisha mfukoni unamawe
 
proxy tumia mbinu yoyote(hata jf mabaharia watakusaidia) ufahamu tarehe yake ya kuingia hedhi....ukiifahamu njoo inbox nikupe mbinu usipomkula basi achana naye! Mungu alileta amri na hormones kwa pamoja (kosa!)
 
Back
Top Bottom