Bill of Quantity
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 1,233
- 407
Mwanamke akishasema byeeeeeee............ hujue no mbunye kaka
We muhaya eenh??
Mwanamke akishasema byeeeeeee............ hujue no mbunye kaka
Sasa ulitaka akutambulishe kama nani?!Mpenzi?!
Dear sasa ulitaka uitweje au utambulishwaje? Halafu baada ya hapo iweje.? Jamani laana na mikasa mingine huwa tunajitakiaga , halafu tunakuja kumlilia mungu , wakati ingewezekana kuepukika . Just move on hata kumtafuta huyo mume Wa ex wako usimtafute unless, unless akutafute na hata kama akifanya hivyo Hakuna kuwa karibu na nyumba yake , na hata kimawasiliano. Usimpe devil a chance . ikiwezekana futa namba yake na ubadilishe namba yako . Only I can say don't make a move with the bad spirit baadae ukaja juta . Thanks .