Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
imenifanya nimechana sketi wakati wa kuruka madimbwi, nikiwa naelekea ofisini yani nimejifunga kikoi tokea asubuhi majanga matupu haya.....
Ilinyesha tuu usiku mchana huu kuna joto niaje aise
hahaaaa hii ni iksipiriensi ati work.......
pole yakooooooo..........mie nimenyeshewa one time ila poa tu
leo kuna kimvua aisee....huu ubaridi inapendeza uwe
umekumbatiwa tu wallahi
Haya bwana! Kila kheri
Mvua inaraha yake bhana weeeeeeeeeeeemwingie kaja saa 6 eti mvua na foleni vimemchelewesha......
Hujui kuna nn gesti? Nenda kaone basi alafu uje utwambie
leo kuna kimvua aisee....huu ubaridi inapendeza uwe
umekumbatiwa tu wallahi
Eti eenhh!!!
hahaaa ndo hivo aisee......
Kumbatio la namna hii na miguo yote hiyo UTELEZI unapatikana kweli!?
leo kuna kimvua aisee....huu ubaridi inapendeza uwe
umekumbatiwa tu wallahi
safari moja huanzisha nyingineKumbatio la namna hii na miguo yote hiyo UTELEZI unapatikana kweli!?
Malkia nipo DSM, karibu Rainbow - meneo ya Mbezi Beach leo jioni nitakuwepo huko kwa mapumziko ya jioni baada ya mizunguko mirefu ya nchi nzima.
Malkia nipo DSM, karibu Rainbow - meneo ya Mbezi Beach leo jioni nitakuwepo huko kwa mapumziko ya jioni baada ya mizunguko mirefu ya nchi nzima.