leo mtakuwa wapi wana jf

Asante kwa ushauri wako, hata hivyo ni kawaida yetu kutembelea wagonjwa na vituo vya watoto. Nilicho kiandika kilitokana na mada kuwa leo nitakuwa wapi. Ni hayo tu mkuu, jioni njema.
aiseeeeeeeeeeee babayangu safi sana mungu akubariki sana na akuzidishie
ushauri wangu
kutembelea watoto yatima si x mass tu hata siku njingine 2jenge mazoea ya kuwatembelea
 
Mkuu nimeipenda! Kumbe hii ni njia ya kuyatimua majini? Waiter? Leta kama tulivyo!

mh! Hapo patakuwa na kitimoto kwa vyovyote vile. Maeneo ilipo mriti pub ni maarufu kwa hiyo biashara kwa morogora.
 
Karibuni wote, mi nipo Kiparang'anda, mnazi kwa kwenda mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…