Kula chuma hicho π€£Habari wakuu,
Poleni na majukumu!
Leo toka asubuhi wife ameamka ameweka taarab tu tena kwa sauti kubwa!
Taarab zile za kina Mzee Yusuph na Jahazi, na nikifikiria kipindi ninachopitia naona kama napigwa mafumbo.
Ushauri nifanyeje?
πΆπ΅π£π£π£ Utakalo duu duuu... Kama huta duu duuu π€£π€£π€£Hapo ndo tatizo la kupigiwa taarabu limeanzia.
Mnase makofi unakwama wapi
π€£π€£π€£Lazima ujumbe ukufikie
mwambie apige Kijeba ya Late Leyla Khatib
utanishukuru
RIP Mudhihir M. Mudhihir
[emoji51][emoji51][emoji1787][emoji1787]Lamba makofi mawili ya kutosha akome zima redio ipasue kabisa ikiwezekana.
Kuna mmoja alinipanda kichwa miaka fulani na ni kibonge hivi.
Kaondoka na mtoto nikaenda kubembeleza arudi home kakataa.
Mara natimua ananifata nyuma mitusi na dharau km zote.
Alikula Kelbu akapaa km kishada akazima.
Nikataka kutoka baru.
Nikamwonea huruma.
Ikabidi nimrudishe tena kwa dadaake.
Tokea hapo adabu ikawepo
You donβt have to be crazy to be my friend. Iβll train you. ππ€£π
[emoji1787][emoji23] watu mnachekeshaVipi anakupigia mtarimbo umelala au mhogo wa Jang'ombe!
Hata kama ni mkorofi, ni wako huyo, mtibu.Habari wakuu,
Poleni na majukumu!
Leo toka asubuhi wife ameamka ameweka taarab tu tena kwa sauti kubwa!
Taarab zile za kina Mzee Yusuph na Jahazi, na nikifikiria kipindi ninachopitia naona kama napigwa mafumbo.
Ushauri nifanyeje?
Habari wakuu,

ππππVipi anakupigia mtarimbo umelala au mhogo wa Jang'ombe!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sana yaan[emoji3061]
Pole sana mkuu yaani hapo ndo ile mistari inatiririka.Habari wakuu,
Poleni na majukumu!
Leo toka asubuhi wife ameamka ameweka taarab tu tena kwa sauti kubwa!
Taarab zile za kina Mzee Yusuph na Jahazi, na nikifikiria kipindi ninachopitia naona kama napigwa mafumbo.
Ushauri nifanyeje?
Umetisha sanaπ π πPole sana mkuu yaani hapo ndo ile mistari inatiririka.
kuwashwa washwa kwa mapenzi!
Mie ndo wake muuguzi
Wengine huniambia nawashwa chini ya futi basi ninamtibia bila wasi pressure huwa sawia km wivu hutulia na malipo bei poa[emoji1][emoji2]
Nakitengo cha massage kuchua na kukanda namtibu mjuaji mnene au aliekonda sitibu wafamaji wale wenye rohombaya walokonda.
Baridiiiiiii baridiiiiiiiiiii
Ola kazima kwenye main switch km mbwai iwe mbwai tuu [emoji23][emoji3]