Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

Guys mayai mm napita nayo mbali sana. Maana kabla sijaoa nlikuwa nakula mayai tu. Nlikuwa ndo nimeanza tu kazi miaka ya 2008, mshahara nliuona mkubwa tu kama laki5.5 hivi and nlikuwa peke yangu, na room yangu moja tu ambayo ilikuwa ndani ya nyumba na nliishi na mwenye nyumba humo humo. Inshort alinichukulia kama mtoto wake. But target yake kumbe nioe mtoto wake. Nlivyooa tu nikapewa nitisi. Asubuhi. Nachemsha maji ya kuoga naweka mayai 2 owenye birika la kuchemshia maji. Nikiwa naoga yanabaki kwenye sahani yanapoa. Nikila naondoka zangu job. Saa nne na nusu vitumbua 3 yai moja na chai nzito ya maziwa, mchana wali ama ugali ,mboga ni mayai2 na youghurt maziwa, usiku wali ama ugali na mboga ni mayai ama nyama. Haya ndo yakawa maisha yangu for 3 yrs kabla sijaanza kuishi na mpenzi wangu, maana nlimpa mimba 2006 tukiwa chuo. Na baadae 2013 kufunga ndoa. Outcome nliota maziwa yakawa makubwa kama ya baunsa, uuuwi nikaambiwa sababu ya mayai, but nlikuwa nakula ya kienyeji, pia nikanenepa sana na mwili ukawa na cholestrol nyingi.nikachukia mayai totally huwa nayala marachache sana
Mtoto wa nje ya ndoa
 
majanga yote anayabeba beki tatu,ndio atakuwa mpishi mkubwa b
emoji28.png
emoji28.png
emoji28.png
emoji28.png
chakushangaza wakisha waoa ndiyo wanaanza kulia lia mke wangu hajui kupika
chakushangaza wakisha waoa ndiyo wanaanza kulia lia mke wangu hajui kupika
House girl ndio anakuja kubeba msala wote wa kupika
 
Back
Top Bottom