Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

Sawa nimekuelewa! Kila mtu anakipenda anachokipenda! Ila sidhani kama kuna mtu anapenda msosi mbaya!

Hapo wifi apunguze mafuta na ajifunze kupika pia ila kakaetu azidi kunogewa!
Naona alitaka kupika roast ya biriani akafail
 
Sawa nimekuelewa! Kila mtu anakipenda anachokipenda! Ila sidhani kama kuna mtu anapenda msosi mbaya!

Hapo wifi apunguze mafuta na ajifunze kupika pia ila kakaetu azidi kunogewa!
kweli,inaonyesha jamaa anadtishwa na wese
 
hongera mkuu,usiwasikilize wanaoponda chakula cha wife wako,mafuta mengi,mayai mengi nk ndio swaga unazozipenda ndio maana umekuja hadi kumsifia ina maana unakikubali chakula chake,na yeye kakupikia hivyo anajua mme wake ndio unapenda so enjoy mkuu msosi murua
Watu nao kwani anakula kila siku hivyoo?
 
ndio maana mkiendaga kul kiepe wengine wanasema zege likauke,wengine lisikauke sana,wengine nataka nyama ya kiti moto maana ina mafuta sana,wengine usiweke ya mafuta,wengine nyama choma ikauke sana,au mi michuzi sitaki nk,so na yeye ndio chaguo lake,hivi una habari kuna wanawake hawajui hata kuchemsha maji jikoni sasa huyo mkewe anajua kupika labda atamwambia tu punguza mafuta kidogo nk
Umeonaaa hapo ni kupunguza mafuta basi wengine hata kuchemsha yai hawajui tatizo wengi wamezoea kupikiwa mampotompoto
 
Umeonaaa hapo ni kupunguza mafuta basi wengine hata kuchemsha yai hawajui tatizo wengi wamezoea kupikiwa mampotompoto
kweli mkuu kuna tofauti kati ya kuto kujua kitu na kukisahihisha au kukiboresha,sasa huyo mapishi anaboresha tuu sio kuwa hajui kupika
 
kweli mkuu kuna tofauti kati ya kuto kujua kitu na kukisahihisha au kukiboresha,sasa huyo mapishi anaboresha tuu sio kuwa hajui kupika
Ndiyo kabisa mkuu, hapo ni kurekebisha tu, tumpe hongera zake mkuu kwa kuwa na mkewe ajuaye kupika,
wengine utakuta chakula kizuri mpaka wabebane hotelini
 
Back
Top Bottom