Leo media zinaanza kuivuruga Simba isifuzu robo fainali

Nimeona Hawa EFM sport HQ hovyo kabisa, wao ni kama wapo kwenye bongo movie solon ya mama kimbo!!! EFM ni shilawadu kabisaaaa!!!

Wawaige

Clouds sports round up/ Sports extra wanachambua vizuri Kwa weledi mpaka unajifunza kitu hasa technically

Pia UFM radio wako vizuri Sana mpaka huchoki kuwasikiliza.
Sikiliza radio unayo ipenda , ugonjwa mwingine ni wa kujitakia
 
Kalipeni deni LA mtibwa na zile teams 15 mafala waluovalishwa logo miezi sitaa bila kulipwa mnaaibisha mababa ya watu yamekuwa addicted na bahasha zenu hata akili kidogo walizojaliwa na mungu zishapotea
tulia kwenye msitari nmekuuliza hizo bahasha za kaki zina izuia vipi Simba kucheza? kipindi mnapigwa 5 Congo na Egypt bahasha aligawa nani?
 
Kabisa mkuu, huyu jamaa hajui jinsi maneno yalivyo na nguvu. Hata Arsenal akicheza na Mbeya city kutokana na nguvu ya maneno, Arsenal wakisakamwa kwa maneno wanafungika tu na Mbeya city. Maneno yana nguvu sana
..maneno yanacheza mpira eeh ?.
 
Kikubwa Mpira unachezwa Uwanjani wao wapige kelele tu huko studio
 
Back
Top Bottom