Leo Mbez majanga

Leo Mbez majanga

Joined
Nov 30, 2016
Posts
19
Reaction score
2
fa3d0f7852a09c6091aac7775dce0c74.jpg
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji35]
 
Tangazo limepita kupitia tanroad wafanya biashara waingie seem sasa wametupa siku3 mwisho taree23 alafu eneo halitoshi wengine twende wp
 
Katika huo ukabaji wako unaotishia watu tafadhali usije mkaba mke wangu, ntakuvunja miguu na wembe. Sio mimi niliyekushauri ukapige kura kwa kutumia akili za mamsap wako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu tena umwambie na korodan zake utawapatia mbwa wale ili kizaz chake kipotee kabisa
 
Unazungumza ujinga gan
Badala utoejambo lamsing
Bc
km VP nipe Nambayake akusimlie magori
Jambo la msingi ni wewe kukaa na mkeo mapema kabla ya uchaguzi umueleze madhara ya kupiga kura kwa mihemko. Haya yanayokukuta hayajaja kwa bahati mbaya, kuna watu wameyaleta, sasa wapo pembeni wengine wanacheka na wengine wanalia kwa majuto.
 
Back
Top Bottom