Leo kwenye pantoni

Hivi bei ya kuvuka pantoni ni kiasi gani vileeee?????
 
Mbona kama mjazito au ni mijicho yangu
 
[emoji39][emoji39] [emoji36]
[emoji533]
 


Sasa geuza hiyo picha, kama ungekuwa ni wewe halafu yeye amekupiga picha na kurushia kwenye mitandao yao angesema leo kaona Gorilla mmoja akichezea simu sijui na kamfundisha kuwasha simu!
Ila wewe unakuja kumsifia hapa, badala ya kusifia dada zetu wa Kitanzania unakwenda kupoteza muda kusifia takataka asiyekufahamu na wla asiyekuthamini ...





 
mkuna nini hapo sasa na ni nani kakuruhusu kuweka picha ya huyu binti hapa kalisa mwenzio kashakamatwa na polisi kwa kuweka picha za wema mitandaoni shauri yako
Mkuu ni kweli tunaviolate cyber crime act ila sometimes mambo ni magumu mkuu hunabudi tu. Mtoto alikonga nyoyo sana
 
Si kweli ni kujiamini tu. Jamaa yngu kama wiki 3 nyuma kaopoa mholanzi pale Mlimani city mall. Alianzia kumtemea sumu kule nakumatt mpaka mtt akagawa namba.
Alitumia mbinu gani mkuu
 
Hahahah, mkuu we nabii nini? Mbona umebashiri baraba kabisa
 
True that mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…