Mkamia maji hayanywi.
Abdallah kichwa wazi ana makusudi, anaweza akaamua kununa tu, utaanza baby ishike ishike, hii sio kawaida yangu, sijui nini kimetokea mwisho usingizie tumbo la kuhara.
Unaweza kuta unapiga tako 3 tu walete, unabaki kusifia maua ya gypsum ya chumbani.