MABOGOJOHA
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 541
- 427
Siasa ni sihasa. Tuombe uzimaHahahahhaha daaaa!! Siasa hizi.
Hilo lipo na tulitaraji siku sio nyinginasubiri Zito kumshanglia Kube....
Zitto uwa hana tatizo na mtu wala kumuongelea mtu kwa chuki mara nyingi yeye uwa anakuja na data tu.nasubiri Zito kumshanglia Kube....
Naam siasa zina maslahi ya kudumuSihasa hazina Audi wakudumu.....!!
Hapo ndipo anapowasulubu wabaya wake. Anajua kupanga hoja na lazima utavutwa na maudhui ya hoja zakeZitto uwa hana tatizo na mtu wala kumuongelea mtu kwa chuki mara nyingi yeye uwa anakuja na data tu.
kwa sababu na yeye aliwahi kuwa mwanaJFZitto uwa hana tatizo na mtu wala kumuongelea mtu kwa chuki mara nyingi yeye uwa anakuja na data tu.
Kwenye Siasa hakuna adui au rafiki wa Kudumu, so usishangae TafadhaliBado nafikicha macho na wala siamini hiki ninachokiona. Naota au ndio ukweli wa hiki ninachokitazama? Hapana, siamini. Leo Kubenea anamshangilia Zitto!!?? Hii ni kali ya karne. Yaani pamoja na magomvi waliyonayo baada ya Kubenea kutumia vilivyo magazeti yake kumnanga Zitto lakini leo pale Bungeni anamshangilia na kumuona kama malaika na kuyashadidisha maudhui ya Zitto kwa bashasha ya makofi. Siamini ni Kubenea huyu huyu au mwingine au kilikuwa kivuli chake pale Bungeni.
Nikikumbuka wawili hao walivyogombana na kuadhiriana tena mbele ya hadhara na maandishi yasiyo ya kiungwana, lakini leo nawaona wamekaa pamoja tena kwa bashasha. Ama kweli hizi siasa zina mambo na vijambo. Tuweke akiba ya maneno!
http://mwanahalisionline.com/zito-kabwe-kutoka-uzalendo-hadi-usaka-tonge/
Zitto Kabwe Amjibu Kubenea....Asema ni Mgonjwa wa Chuki, Muongo na Kigeugeu | UDAKU SPECIAL BLOG
Swali gumu. Lakini nimeandika nilichokiona kwenye hii video. Sio vibaya nawe unaweza kuipitiaMkuu sasa ndio umeandika nn?
Nakushkuru sana....ungeitupia hapo juu Thread yako ingepafa mantik zaidi.Swali gumu. Lakini nimeandika nilichokiona kwenye hii video. Sio vibaya nawe unaweza kuipitia
Siasa hazina adui wa kudumu kwa nani?Kwenye Siasa hakuna adui au rafiki wa Kudumu, so usishangae Tafadhali