Col Miraji JF-Expert Member Sep 20, 2016 546 509 Jun 6, 2017 #2 Yaani hao wenzie badala ya kumsapoti wao wanamsema tu. Wakati hapo simba ashaanza kukimbia na wao wangekua wengi hakika ushindi ni wao
Yaani hao wenzie badala ya kumsapoti wao wanamsema tu. Wakati hapo simba ashaanza kukimbia na wao wangekua wengi hakika ushindi ni wao
Hassan Mambosasa JF-Expert Member Aug 2, 2014 3,359 4,526 Jun 6, 2017 #3 dume la kenge said: Click to expand... Kipanya ana madongo mazito, hili linalenga siasa zetu hizi kwenye sakata la mchanga
dume la kenge said: Click to expand... Kipanya ana madongo mazito, hili linalenga siasa zetu hizi kwenye sakata la mchanga
mitale na midimu JF-Expert Member Aug 26, 2015 10,420 17,735 Jun 6, 2017 #4 Hata peke yake hiyo kazi akiachiwa hufanya