28 Septemba 2021, Dkt. Samia kukutana na Makamu Benki ya Dunia
Tarehe 28 Septemba 2021, Rais Samia alikutana na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia, Dkt. Hafez Ghanem, Ikulu Chamwino, Dodoma. Walijadili vipaumbele vya Serikali, ikiwemo elimu, afya, miradi ya kimkakati, mazingira ya biashara na uwekezaji.