Leo Jumapili mume amerudi hii asubuhi ni haki nimpe chai na nisimuulize anatoka wapi?

sasa siku itokee mwanamke nae akachelewa kurudi! jaman ni timbwili km la asha ngedere!utafungiwa huko huko nje walah!!
niliwah kwenda harusini nikarud saa6 usk nilijieleza zaid ya lisaa 1 nikiwa nje, ndo nikafunguliwa! sijui wapoje!
Wanaume tuko wachache... Kwahiyo kuchelewa Kurudi nikutokana na nyie kwa kuwa wengi... Tunajitahid kwa kanafasi ketu at least unahakikisha wanawake wa 4 hawajisikii upweke... Ni upendo wetu tuuuh wakutaka wanawake Mnafuraha dunian
 
Mpe chai nzito akimaliza mpeleke bafuni akaoge nenda nae chumbani,mpe haki ya ndoa akifika katikati mkazie lazima ataropoka yote hadi alipokula na Kuala usiku

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wazo zuri, hivi kama mtu hakuona umuhimu wa kkujuza ww mke wake nn kimetokea hadi mda unaenda na imefika asubuhi anarudi.... MPE psychological punishment kwa kutomuuliza chchote akitaka ajieleze mwenyew ila muhudumie kama kawaida kama ni mwanaume anaejielewa atabadilika

Post sent using JamiiForums mobile app


hao mnaosema wanakujaga kujieleza wenyewe ni Tz hii au!bas mie mgeni! mwanaume ukimpa psychological punishment anakugeuzia kibao anakuambia najua kuna mwanaume anakuzuzua! hehehehe!
 
Mpe chai nzito akimaliza mpeleke bafuni akaoge nenda nae chumbani,mpe haki ya ndoa akifika katikati mkazie lazima ataropoka yote hadi alipokula na Kuala usiku

Post sent using JamiiForums mobile app


chefu
 
Mpe chai nzito yenye viungo
Kama ana hangover Mpe supu na soda ya baridi
Mpe na maji ya kuoga
Inatosha!!!
We ndo kipepeo sasa, kwani umeishaolewa mama?Mimi nafikri utanifaa, nitaishi stress free .Nipe anuani ya wakwe zangu nimuagize mshenga ASAP.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwenye Tamu inategemea
Mie hayo mengine nitafąnya ila Tamu hapana
Labda aamue tu kunipanda kama jogoo vile
Make hapo haimaanishi niko happy
Huo mchezo hauhitaji hasira na ktk hali hiyo apande tu kama ng'ombe au jogoo hahahaaaa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kama kweli,Kumbe generation hii bado kuna wadada wanaoelewa maana halisi ya Mapenzi!! Ingawa napata kigugumizi kiasi fulan,ujue watu tumebak dilemma kutokana mambo ambao wake za jamaa zetu au watu wetu WA karibu wanayoyafanya!!!
MUNGU AKUSIMAMIE UBAKI KAMA ULIVYO AKUEPUSHE NA KUKOPY LIFESYTLE ZA MA SISTERDUU UCHWARA!!!

Post sent using JamiiForums mobile app
Ila ujue muda huo moyo wangu unavuja damu
Najifanya nazi nje ngumuuu ndani laini
 
Mwanaume huwa halali nje, ila huwa anachelewa kurudi tu! Si vyema ukamuuliza. Fanya uchunguzi kimya kimya ili uweze kupata majibu sahihi. Hata ukimuuliza hatokwambia ukweli...
Teh teh teh mbavu zangu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mpe kifungua kinywa kizito kwa bashasha na umpe pole kwa usiku wa jana,na uaiulize tenaaaaa,ipo muda atasema mwnyewe alikua wap
 
MUANDALIE KILA KITU MPE CHAI YA NGUVU NA PIA MUANDALIE KILA KITU CHEKA NAE MKUMBATIE MBEMBELEZE HALAFU UTAMUULIZA NI WAJIB WAKO KUJUA ALILALA WAPI

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Sorry alitoa taarifa kua atachelewa..ni Mara yakwanza.. Ni vizuri kuuliza.

Post sent using JamiiForums mobile app
Ndio maana wengi tunasema amwandalie kwanza kila kitu,halafu amwache apumzike baadae amwombe waongee pekeyo chumbani taratibu wataelewana busara inahitajika zaidi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom