Leo Jumapili mume amerudi hii asubuhi ni haki nimpe chai na nisimuulize anatoka wapi?

asili ya majina yetu hatujui kufake! mie siulizi ulikua wapi ukinipa hi nakupa hi! ila usilogwe unisumbue sumbue ! na maji nakuwekea kwan bafuni maji hayatoki??nakuwekea nn sasa ! hujui kufungulia bomba uoge?mxieeeeeeeeew
Wengine hawaogi ya baridi
Ngiri mama Ngiri :D
 
Kwenye Tamu inategemea
Mie hayo mengine nitafąnya ila Tamu hapana
Labda aamue tu kunipanda kama jogoo vile
Make hapo haimaanishi niko happy
Ujuwe tu huna amri juu ya mwili wako, unamuacha akupande, katikati ya mtanange unasimama na kuanza kuhoji, tena unasubiri akiwa spidi 120km/hr.
 
sio hao unaowawazia wewe!
Me bahati nzuri sipendi nigeneralized mambo,me naonaga hata mshikaji wangu tu akizingua katika jambo Fulani nispomchana nikamkaushia as long kazingua utaona anavyopata taabu full kujistukia, baada ya muda utaona anafuta jinsi ya kutafuta soln kimtindo,lakn kwa kuwa unamuelewa kamanda wako unapotezea lakn anakuwa kaelewa kazingua na wewe umejua kazingua!!!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hata hapa umetumia busara kuuliza kwanza kifupi unaonekana ni msitarabu.
Mhudumie kwanza badaye ndo umuulize mbona hukurudi tatizo nini

Post sent using JamiiForums mobile app
 
kabisa demi! kushika simu za hawa viumbe ni majanga tu! mie ndo kbssssss!
Ni sawa lakini mimi siwezi ishi bila kuigusa hiyo simu.. Tena siku za hivi karibuni imebadilishwa password yaani sina amani.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
sasa siku itokee mwanamke nae akachelewa kurudi! jaman ni timbwili km la asha ngedere!utafungiwa huko huko nje walah!!
niliwah kwenda harusini nikarud saa6 usk nilijieleza zaid ya lisaa 1 nikiwa nje, ndo nikafunguliwa! sijui wapoje!
Hahaha nimecheka sana. Hivi wife anaendaje sehemu anijie saa sita usiku? Dadeq, unless ni issue naijua na tumepanga, la sivyo usiku huo hatutalala.
 
Ni sawa lakini mimi siwezi ishi bila kuigusa hiyo simu.. Tena siku za hivi karibuni imebadilishwa password yaani sina amani.

Post sent using JamiiForums mobile app

hahahahaha sasa ww unajitaftia magonjwa ya presha na sukari juu! mie pia nilikuaga hvyo wakat naolewa (kwasabb nilikua mwaminifu saint kbsss) kila siku unajikuta unalia! mpk leo sijui nan alinipa hilo somo la kutoshika simu yake! namanisha sigus ht iite vip watt wataipeleka! na mm yangu hagusi! unajikuta unahesabu miaka my dear! PLS ACHA KBS!
 
asili ya majina yetu hatujui kufake! mie siulizi ulikua wapi ukinipa hi nakupa hi! ila usilogwe unisumbue sumbue ! na maji nakuwekea kwan bafuni maji hayatoki??nakuwekea nn sasa ! hujui kufungulia bomba uoge?mxieeeeeeeeew
Nashangaa na mimi
Wavae uhusika jamani hakuna kitu kinauma kama kumsubiria mtu usiku mzima humuoni hujui kapatwa na nini sio tahira useme anamatatizo ya akili hapana ni mtu mzima anayejitambua kwanini asitoe taarifa?
Alafu watu wanakuja na simple words eti muandalie chai, mpe maji ya kuoga chefuuu akanywe chai alipolala kama alishindwa kuwa na utu kwa kutambua maumivu ninayopata usiku huyo sio mtu ni pepomtu eti mie ndio nijivike roho ya kikristo hapana aiseeh sina moyo huo, usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzio tusitesane jamani.
 
Japo kuna watu viburi
Ukijifanya bubu anajifanya kipofu ha ha ha
Katika namna yoyote ile,lazma aelewe nn umemaanisha!!
Kuna Mwana mmoja alikuwa na mkewe wakawa wanaishi vyema kitaa,jamaa akaanza mishe za kutembea na moja ya rafiki za mke wake!!! Ikawa siku mke WA jamaa akausoma mchezo maana jamaa alidakwa kwa Demu WA watu,akachezea nakozi za kutosha,wakamleta home USO kama katika kulina asali mchana bila vifaa maalum,wakamsilmia mkewe habar nzima,,Mama hakutia neno akafanya mchakato maji ya kumkanda,mahitaji muhm kwa mumewe!!!
Jamaa baada ya kupona kawa mtumwa kwa mkewe now!!! Dada hana habar anamheshm na jamaa sasa ivi full respect!!!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hahaha nimecheka sana. Hivi wife anaendaje sehemu anijie saa sita usiku? Dadeq, unless ni issue naijua na tumepanga, la sivyo usiku huo hatutalala.

Hahahah Eli79 ilikua ni harusi ya WASABATO ! mume wangu harus ambayo haina pombe hata ulie vip hatak kwendaga anakuwaga bored had unamshangaa! akanipa ruhusa niende mm ! harus imeisha saa5;30! saa6 nipo hom hilo povu la nn sasa!mshindwe! tatz mnahis na ss tunafanya mambo ya giza !wengn tukiamua kufanya revenge tutahama mazima maana hatujui kugawa hisia! tena mtuheshim tu! yaan mie niseien harusin kisa ww hutaki! hahahahaha
 
Haya jamani kama kichwa cha habari kinachosema,

Kule unyagoni tulifundishwa mume akirudi asubuhi muandalie staftahi wala usimuulize anatoka wapi. Kungwi akidai shughuli za wanaume ni nyingi inawezekana alilala central na akona aibu kukufahamisha.

Hii ni haki kweli nisijue alilala wapi? Mimi si ndiye next of kin sasa iweje nisiulize?

Tupeane ushauri hapa ninaona mafunzo ya kungwi yananichengua.
Mpe chai yawezekana hakuwa mbali na hapo nyumbani,inawezekana alikuwa akila timing ya nani ataingia kwenye nyumba yake ili afumanie...

Sony Z3
 
hahahahaha sasa ww unajitaftia magonjwa ya presha na sukari juu! mie pia nilikuaga hvyo wakat naolewa (kwasabb nilikua mwaminifu saint kbsss) kila siku unajikuta unalia! mpk leo sijui nan alinipa hilo somo la kutoshika simu yake! namanisha sigus ht iite vip watt wataipeleka! na mm yangu hagusi! unajikuta unahesabu miaka my dear! PLS ACHA KBS!
Mkuu najua kbs nitakapoishia sio kuzuri lakini nimejitahidi nisiwe nagusa lakini mikono inaniwasha ..yani sijui nitafanyeje!!

Nitalia na kumuita Mungu.. And am very innocent kama wewe my dada

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nashangaa na mimi
Wavae uhusika jamani hakuna kitu kinauma kama kumsubiria mtu usiku mzima humuoni hujui kapatwa na nini sio tahira useme anamatatizo ya akili hapana ni mtu mzima anayejitambua kwanini asitoe taarifa?
Alafu watu wanakuja na simple words eti muandalie chai, mpe maji ya kuoga chefuuu akanywe chai alipolala kama alishindwa kuwa na utu kwa kutambua maumivu ninayopata usiku huyo sio mtu ni pepomtu eti mie ndio nijivike roho ya kikristo hapana aiseeh sina moyo huo, usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzio tusitesane jamani.

hahahahah hilo nneno nalitumia sana kwenye maisha yangu mie! USICHOPENDA KUFANYIWA NA WW USINIFANYIE! sema hawaelewi kbs yaan!
 
Back
Top Bottom