Rommy Ronny
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 664
- 884
Wanaume tuko wachache... Kwahiyo kuchelewa Kurudi nikutokana na nyie kwa kuwa wengi... Tunajitahid kwa kanafasi ketu at least unahakikisha wanawake wa 4 hawajisikii upweke... Ni upendo wetu tuuuh wakutaka wanawake Mnafuraha duniansasa siku itokee mwanamke nae akachelewa kurudi! jaman ni timbwili km la asha ngedere!utafungiwa huko huko nje walah!!
niliwah kwenda harusini nikarud saa6 usk nilijieleza zaid ya lisaa 1 nikiwa nje, ndo nikafunguliwa! sijui wapoje!