KORBOTO
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,848
- 2,445
kateme nje uwahi kuandaa chaiKoh koh koh
kateme nje uwahi kuandaa chaiKoh koh koh
Na imshike tuu hiyo ngiri asiniletee ujinga mimi
Aaah muda majamboz ni majamboz tuUjuwe tu huna amri juu ya mwili wako, unamuacha akupande, katikati ya mtanange unasimama na kuanza kuhoji, tena unasubiri akiwa spidi 120km/hr.
Mhhhhh.... Ukijaribu kuwaza wanawake ndoani tuliwakosea mini hawa watu hakipo...mie napendaga kuongelea haya mambo na mtu aliolewa atleast mtaelewana! wengn hawajaolewa au ana mkyumba humu lazima ajirembeshee lol!! subiri aingie kwenye ndoa atakavyokuwa na roho ya ibilisi!
Hata kwenye ndoa unawaleta chadema?!. Inaonekana walikufanya kitu mbayaHuyo siyo Mume bali una mtoto wa kulea tu hapo na mara nyingi ni chadema huyo, piga chini fasta!
Kule unyagoni tulifundishwa mume akirudi asubuhi muandalie staftahi wala usimuulize anatoka wapi...
Mwanaume ni mtu WA kutaka attention toka kwa jamii yake,..Asante mkuu..!!kuna wakati Fulani nilikuwa nawashangaa sana wanawake wanaolialia kuwa waume zao wasaliti..
Masikini mimi kumbe muda ndio mwamuzi mzuri.
Post sent using JamiiForums mobile app
Hata kwenye ndoa unawaleta chadema?!. Inaonekana walikufanya kitu mbaya
Ukiwakumbuka sana kunywa maji ukalale uondoe stress. Ccm ni akina Diallo siyo we kapuku.
Cairo's
Unachekesha sanaBi mkubwa nawe leo kalale hata kwa shoga yako halafu urudi kesho saa 2 asb , na ukifika tu uombe matumizi .
Cairo's
Sema chochote mama tujifunzeKoh koh koh
Ur nt a saint anymohahahahaha sasa ww unajitaftia magonjwa ya presha na sukari juu! mie pia nilikuaga hvyo wakat naolewa (kwasabb nilikua mwaminifu saint kbsss) kila siku unajikuta unalia! mpk leo sijui nan alinipa hilo somo la kutoshika simu yake! namanisha sigus ht iite vip watt wataipeleka! na mm yangu hagusi! unajikuta unahesabu miaka my dear! PLS ACHA KBS!
Mwanaume ni mtu WA kutaka attention toka kwa jamii yake,..
Kama huamin wakat anatia mbwembwe za kurudi asubuhi we Fanya HV,akiondoka akasahau sim yake kama una access na password ya sim yake,mu SMS kupitia sim yake,ubadili jina ulomsevu,uandike "Unajua kunikita mpaka unanihamisha Sayari" then siku ukiona yupo loose iache hyo sim yako mezani hafu jifanye huna habar na SMS ulojiesms toka kwake ifute kwenye simu yake,akiisoma SMS hyo kwenye sim yako,hata namba yake hatoikumbuka kama yake!!!povu lake Mungu ndio anajua!!!
Post sent using JamiiForums mobile app
Maneno haya husemwa na wengi kinadharia lakini kimatendo hayatendwi na walio wengi,binafsi sitendi nisipomfatilia Mimi mume wangu atafatiliwa na nani sasa!? Maana tangu awaache wazazi wake nami kuwaacha wazazi wangu Mimi ndie mlinzi wake na yeye ndie mlinzi wangu,kumfatilia mtu kumbuka si ugomvi ila ni kuonyesha nna gani unamjali hivyo usijidanganye kuacha kusoma hatua zake basi ni mapenzi ya dhati uliyonayo,muda mwingine yanasadifu namna ulivyo muogaSigusi hata siku moja. Kwani natafuta nini? Siku nikigusa au nikimfatilia ujue ni kitu kikubwa sana nimehisi na ninakuwa nipo tayari kuachana nae. Staki pressure mie
Unataka kuwa stressed free ni rahisi tu,kwa kuwa mwenzi wako kazoea lazma uwashwe kushika sim yake,jifanye nunda piga moyo konde jikaze kisabuni,one week usijihusishe na sim yake,uone atakavyopata Tabu!!! Atakuwa anajisahaulisha sim yake huku anachungulia aone umeenda japo kuishika,wakat wewe habari huna... Utakuwa ume win,wazo lake la kwanza atadhan amepate mtu anae Mi assist wakat si kweli,utaona atakavyojifanya innocent kwako mpaka utajiona mshindi!! Na usirudi nyuma katika hilo la kuzoea simu,atanyoosha mikono juu mwendo WA Mateka.!!Mkuu najua kbs nitakapoishia sio kuzuri lakini nimejitahidi nisiwe nagusa lakini mikono inaniwasha ..yani sijui nitafanyeje!!
Nitalia na kumuita Mungu.. And am very innocent kama wewe my dada
Post sent using JamiiForums mobile app
Katika ulimwengu wa sasa mwanamke pekee mwenye uwezo wa kufanya hivi ni yule mwenye moyo wa Bikira Maria kubeba mimba pasipo kujua utamu au uchungu wa tendoMpe tena na maji ya moto mpelekee bafun akaoge akimalza mfanyie masssage
Post sent using JamiiForums mobile app
Jambo la msingi ni kumuuliza tu maana usipo muuliza litakutesa sana moyoni muulize ili uwe huru ktk nafsiyako ingawa hutoweza kubadili chochote,aina ya kumuuliza ndo inataka utulivu sio vurugu.ila kuwa na imani ukweli utaujua tu siku si nyingiHaya jamani kama kichwa cha habari kinachosema,
Kule unyagoni tulifundishwa mume akirudi asubuhi muandalie staftahi wala usimuulize anatoka wapi. Kungwi akidai shughuli za wanaume ni nyingi inawezekana alilala central na akona aibu kukufahamisha.
Hii ni haki kweli nisijue alilala wapi? Mimi si ndiye next of kin sasa iweje nisiulize?
Tupeane ushauri hapa ninaona mafunzo ya kungwi yananichengua.