FourTwoNet
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 1,235
- 2,497
Tunaomba huyu jamaa apewe ubunge wa viti maalum.Kuna njia zaidi ya Moja ila iliyo rahisi ni hii:-
-Kikubwa simu yako iwe Rooted
-Create Account za droid vpn hata 10 kwa maana 10x300=3000MB
-pakua device ID changer then fanya kuchange ID ya simu yako
-Login DRoidVpn na Ac nyingine
-Kila unapomaliza 300Mb zako change ID then unaingia Droid vpn na AC ingine yaani Mwendo huo huo
ukimaliza zile 10 badili server then Anza tena na ya 1 endelea kucheza na Device ID
Ni watu wakishasoma id yako...mtu anajua tu hapa kinaumana.Moderators nisaidieni kufunga huu uzi ,mara naitwa tapeli utadhani nimechukua mia ya mtu,damn .
Yani ii ela ya bundle unajenga hoteli kabisa ndani ya mwaka mmoja.Bila huu uzi nilikuwa naelekea kufilisika kwasababu ya bundle.
View attachment 2312052View attachment 2312054
1. Pakua Thor Droidvpn HAPA na kuinstall kwenye handset yako
2. INGIA HAPA ujiregister then fanya confirmation kwenye e-mail yako ili uwe active
3.Sasa fungua ile apk uliyoinstall then Nenda setting na kuset ifuatavyo:-
R-UDP 53
L-UDP 0
UDP CONNECTION MODE-1
T-COUNT 2222
R-COUNT 03
4.Ukimaliza Go back na kulogin kwa kujaza user na pass ulizo create then click save
5.Chagua server za Thor Hacker then connect
6.Serereka for free
NB mtandao ni jukumu lako kutafuta unaokimbiza
Naomba kuuliza kama hiz vitu ni kweny sm zote au Android tu
Vipi mkuu ulifanikiwa?Server is full
NdiyoVipi mkuu ulifanikiwa?
Hakunaga kitu Cha bure katika internet iko hivi unapata internet bure Ila info. Zako Zina chukuliwa kwa ajili ya matumizi mengine ambayo ukiiingia darkweb vitu Kam ivyo vinauzwa kitendo Cha ku connect kwenye server it means una alllow permanent backdoor kuwa installed mfano advanced keylogger ambayo Ni ngumu ku dedect hata Kama una antivirus natamani nielezee ving Ila mnaosema mnadukuliwa insta, what'sapp na Facebook hiyo Ni moja wapo ya mbinu hizo kwa sababu hai provide privacy wakati uko connected kwenye internet....!MPENI HATA DADA ZENU AWALE ALIE WEKA HII KITU HAPA. JUKWAAANI MAANA IPO GOOOOOOOOOODDD NIPO NA ENJOY NOW BUNDLE LA KAWAIDA LIMEKATA INTERNET IPO FAST KWELIIIII
Nakufatilia sana na mwaka mmoja wa kujifuta before cjarudi chuo kugonga jiwe langu la ITHakunaga kitu Cha bure katika internet iko hivi unapata internet bure Ila info. Zako Zina chukuliwa kwa ajili ya matumizi mengine ambayo ukiiingia darkweb vitu Kam ivyo vinauzwa kitendo Cha ku connect kwenye server it means una alllow permanent backdoor kuwa installed mfano advanced keylogger ambayo Ni ngumu ku dedect hata Kama una antivirus natamani nielezee ving Ila mnaosema mnadukuliwa insta, what'sapp na Facebook hiyo Ni moja wapo ya mbinu hizo kwa sababu hai provide privacy wakati uko connected kwenye internet....!
HASARA YA INTERNET YA BURE...!
Taarifa zenu zinauzwa dark web kwa ajili ya kutengeneza fake identy kwa watu ambao Wana kazi maalum mfano majasusi...!
unaweza kufanyiwa blackmail iwapo itagundulika Kama uko vizuri kipesa
Kwa nyie mnao ltumia iPhone msidhani kwamb mko safe iko iko ivi unixsystem inaprovide better securty but Kuna weakness za software ambazo ndizo zinsababishwa watu info ziibiwe mfano
P*g*** hiyo Ni tool ya ki Russia ambayo inaweza intercept whatsapp communication mfano Kuna wasanii wanatumia iPhone lkn video zao zinaenda viral kwa sababu ya vitu Kama ivyo watu wa reverse engineer hapa tunaongea lugha moja
Nitaanzisha Uzi wangu alf nitaitaji volunteer wawili Alf nitatengeza darkweb site yangu kwa ajili ya Hilo ningependa mjionee dunia ilivyo...! Ningependa kumaliza kwa kisema " Everything has price"
Wakuelewa kaelewa nimechoka kuandika....!
Mkuu mpaka natamani niongeze hii degree yako Mana Tayari ninayo ya sementi udongo na lami pia na chuma Sasa hii ya kwako naiona kama niongeze pia na nahitaji kujua ku code mkuuHakunaga kitu Cha bure katika internet iko hivi unapata internet bure Ila info. Zako Zina chukuliwa kwa ajili ya matumizi mengine ambayo ukiiingia darkweb vitu Kam ivyo vinauzwa kitendo Cha ku connect kwenye server it means una alllow permanent backdoor kuwa installed mfano advanced keylogger ambayo Ni ngumu ku dedect hata Kama una antivirus natamani nielezee ving Ila mnaosema mnadukuliwa insta, what'sapp na Facebook hiyo Ni moja wapo ya mbinu hizo kwa sababu hai provide privacy wakati uko connected kwenye internet....!
HASARA YA INTERNET YA BURE...!
Taarifa zenu zinauzwa dark web kwa ajili ya kutengeneza fake identy kwa watu ambao Wana kazi maalum mfano majasusi...!
unaweza kufanyiwa blackmail iwapo itagundulika Kama uko vizuri kipesa
Kwa nyie mnao ltumia iPhone msidhani kwamb mko safe iko iko ivi unixsystem inaprovide better securty but Kuna weakness za software ambazo ndizo zinsababishwa watu info ziibiwe mfano
P*g*** hiyo Ni tool ya ki Russia ambayo inaweza intercept whatsapp communication mfano Kuna wasanii wanatumia iPhone lkn video zao zinaenda viral kwa sababu ya vitu Kama ivyo watu wa reverse engineer hapa tunaongea lugha moja
Nitaanzisha Uzi wangu alf nitaitaji volunteer wawili Alf nitatengeza darkweb site yangu kwa ajili ya Hilo ningependa mjionee dunia ilivyo...! Ningependa kumaliza kwa kisema " Everything has price"
Wakuelewa kaelewa nimechoka kuandika....!
Uzi uko juu juu Yani mtoa post mwenyewe haeleweki anataka nini badala ya kutupa hyo connection na sisi tuijue inafanyaje kazi
Samahani kama nimeingilia Uzi wako
Chief-Mkwawa weka neno hapaHakunaga kitu Cha bure katika internet iko hivi unapata internet bure Ila info. Zako Zina chukuliwa kwa ajili ya matumizi mengine ambayo ukiiingia darkweb vitu Kam ivyo vinauzwa kitendo Cha ku connect kwenye server it means una alllow permanent backdoor kuwa installed mfano advanced keylogger ambayo Ni ngumu ku dedect hata Kama una antivirus natamani nielezee ving Ila mnaosema mnadukuliwa insta, what'sapp na Facebook hiyo Ni moja wapo ya mbinu hizo kwa sababu hai provide privacy wakati uko connected kwenye internet....!
HASARA YA INTERNET YA BURE...!
Taarifa zenu zinauzwa dark web kwa ajili ya kutengeneza fake identy kwa watu ambao Wana kazi maalum mfano majasusi...!
unaweza kufanyiwa blackmail iwapo itagundulika Kama uko vizuri kipesa
Kwa nyie mnao ltumia iPhone msidhani kwamb mko safe iko iko ivi unixsystem inaprovide better securty but Kuna weakness za software ambazo ndizo zinsababishwa watu info ziibiwe mfano
P*g*** hiyo Ni tool ya ki Russia ambayo inaweza intercept whatsapp communication mfano Kuna wasanii wanatumia iPhone lkn video zao zinaenda viral kwa sababu ya vitu Kama ivyo watu wa reverse engineer hapa tunaongea lugha moja
Nitaanzisha Uzi wangu alf nitaitaji volunteer wawili Alf nitatengeza darkweb site yangu kwa ajili ya Hilo ningependa mjionee dunia ilivyo...! Ningependa kumaliza kwa kisema " Everything has price"
Wakuelewa kaelewa nimechoka kuandika....!
Ni sahihi ila sio 100% sahihi.Chief-Mkwawa weka neno hapa
Kwahiyo unawashaurije wanapenda VPN?Ni sahihi ila sio 100% sahihi.
Mfano tundu limepatikana kwenye isp kwa kutumia vpn, v2ray, ssh, proxy ama njia yoyote ile hilo ni tundu.
Mtu anapotumia service kufanikisha mfano vpn ya bure ama proxy ya bure yes anaweza dukuliwa taarifa zake maana kunakuwa na man in the middle hapo taarifa zako zote zinapitia kwao.
Ila si kila service zinadukua, unaweza hata ukahost proxy ama vpn yako kama una Vps.
So inaweza tokea ila sio 100%
Mkuu vipi kwa maoni yako ni sahihi kuendelea kutumia hizi vpn?Ni sahihi ila sio 100% sahihi.