Jana kuna Jumbe mbili zinatembea mitandaoni, ujumbe wa mapema unasema mwezi haujaonekana wa pili ambao mi nliupata sa4+ ni video clip inayosema mwezi umeonekana. So nauliza niendelee kufunga 30 au nianze kujiandaa kwenda Msikiti wa Gadafi nikaswali swala ya Ijumaa?
Nawasilisha, kazini SIENDI hata mkisema sio IDDI