Leo hii ikiibuka upya hoja ya Kikatiba, na kura ikawa ni ya siri,wana-CCM watapiga kura kuikataa?

Salary Slip

Platinum Member
Apr 3, 2012
49,325
152,136
Wakati Bunge la Katiba likiendelea na kazi kuandika Katiba mpya,vifungu au hoja zilizohusu kupunguza madaraka ya Raisi zilikuwa zikipingwa vikali na wana-CCM ndani ya Bunge la Katiba na hata wana-CCM ambao hawakuwa wajumbe wa Bunge la Katiba.

Sasa leo hii endapo mchakato wa kuandaa Katiba inayopendekezwa ukarudiwa na vifungu vya Katiba vikapitishwa kwa kura ya siri,unadhani wana-CCM hawa wataendelea kutaka madaraka ya Raisi yabaki kama yalivyo kwenye katiba ya sasa/inayopendekezwa?

Naomba tu mchakato huu urudiwe sasa ili mjue hawa watu walikuwa wanasimamia nini na kwa faida ya nani.
 
Thubutu!! Kwa jinsi ccm wanavyo isoma namba, watakubali kupiga kura ya siri ili wayapunguze madaraka ya rais.
 
Back
Top Bottom