Leo Hawli ya Mufti Sheikh Hassan bin Ameir

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
23,283
Reaction score
33,881
LEO HAULI YA MUFTI SHEIKH HASSAN BIN AMEIR

Naweka hapo chini In Shaa Allah muhadhara niliotoa Chuo Kikuu Cha Zanzibar (Zanzibar University)katika uzinduzi wa kitabu cha Sheikh Hassan bin Ameir kilichoandikwa na Prof. Issa Ziddy.

Naamini muhadhara huu unamweleza Sheikh Hassan bin Ameir kwa kiwango ambacho wale waliokuwa hawamjui watamfahamu:


View: https://youtu.be/aWg3BxpnWfs?si=7Uyw5CKHw1eF-MqB
 
We mzee kuna kitu ila acha tukupe hekima tu.

wakati wa utawala JPM mada zako zilikuwa wakombozi wa Tanganyika.Kaja muuwaji wa znz kazi yako ni wasifu kama ufahamu nchi.
Ila kweli maana wanaweza kukuteka hawa wapuuzi wa CCM sio wa kuwachekea washakuwa wanyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…