hassan bin ameir

Ameir bin Hassan (Jawi: امياير بن حسن) is a Malaysian politician. He was the Pakatan Harapan state chief for Perlis until he was replace by Noor Amin Ahmad on 10 May 2021.

View More On Wikipedia.org
  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Hawli ya Mufti Sheikh Hassan bin Ameir Nyumbani Kwake Magomeni Dar es Salaam

    Anaelezwa kuwa hakuwa alim (mwanachuoni) wa dini pekee, bali alikuwa mwanasiasa shupavu ambaye historia ya Tanganyika haiwezi kuandikwa bila kumtaja. Alikuwa na ushawishi mkubwa kwa viongozi wa TANU na alimuunga mkono Mwalimu Nyerere katika harakati za uhuru,. Mgogoro wa EAMWS na BAKWATA: Video...
  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Leo Hawli ya Mufti Sheikh Hassan bin Ameir

    LEO HAULI YA MUFTI SHEIKH HASSAN BIN AMEIR Naweka hapo chini In Shaa Allah muhadhara niliotoa Chuo Kikuu Cha Zanzibar (Zanzibar University)katika uzinduzi wa kitabu cha Sheikh Hassan bin Ameir kilichoandikwa na Prof. Issa Ziddy. Naamini muhadhara huu unamweleza Sheikh Hassan bin Ameir kwa...
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Sheikh Hassan bin Ameir Anaogopwa

    https://youtube.com/shorts/iHue9pO_z94?si=LX_XgQalyLVzp1KN
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Cha Zanzibar: Uzinduzi wa Kitabu Cha Sheikh Hassan bin Ameir (1880 - 1979)

    https://youtu.be/lfKyNUQzdM0?si=n1ln1wI6YY84RaJK
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan Bin Ameir Sehemu ya Nne na ya Mwisho

    https://youtu.be/7hdr_NWa6mk?si=iZwFvEiOtXV3lK35
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan Bin Ameir Sehemu ya Tatu

    https://youtu.be/iCuOj7ppe5E?si=QeKMvxp0WqOpAzUi
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan Bin Ameir Sehemu ya Pili

    https://youtu.be/CeBBijxdjwg?si=3wUQnU1BEJOgcM_N
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya Sheikh Hassan bin Ameir Mufti wa Tanganyika

    https://youtu.be/ZY0ozVzGzXo?si=7u9N3U8Ky8qlgefs
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mufti Sheikh Hassan bin Ameir (1880 - 1979) Mchango Wake Katika Uasisi wa TANU na Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/WdiQykUgOys?si=fcaPooTUouxWutKI
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Maisha ya Mufti Sheikh Hassan bin Ameir (1880 - 1979)

    KITABU CHA HISTORIA YA MUFTI SHEIKH HASSAN BIN AMEIR (1880 - 1979) Sijapatapo kuandika chochote kuhusu Sheikh Hassan bin Ameir nikaacha kulengwalengwa na machozi. Hamu kubwa ya Sheikh Hassan bin Ameir ilikuwa kujenga Chuo Kikuu Cha Waislam. Hili halikutokea. EAMWS iliyochukua jukumu la...
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Hawli ya Aliyekuwa Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan bin Ameir Imesomwa Nyumbani Kwake Magomeni

    Mufti Sheikh Hassan bin Ameir Katika masheikh waliosomesha Tanganyika Mufti Sheikh Hassan bin Ameir ameacha historia ya pekee kabisa. Licha ya kuwa Ulamaa mkubwa wa kutegemewa alikuwa pia mpigania uhuru na mmoja wa wanachama wa mwanzo wa TANU. Sheikh Hassan bin Ameir anakumbukwa kwa kuuza...
  12. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Sheikh Shaban Rashid Msuya Mwanafunzi wa Sheikh Hassan bin Ameir, 1950s

    SHEIKH SHABAN RASHID MSUYA MWANAFUNZI WA SHEIKH HASSAN BIN AMEIR 1950s "Nakumbuka safari ya kwanza ya Mwalimu Nyerere UNO mwaka wa 1955, Sheikh Hassan bin Ameir alinichukua mimi na wenzangu kwenda Al Jamiatul Islamiyya kwani kulikuwa na sherehe ya kumuaga Nyerere. Sisi vijana wa madras ndiyo...
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania ''Bilal nusuru umoja wa waislam'' Mufti Sheikh Hassan bin Ameir 1963

    Baadhi ya hotuba katika maziko ya Shekh Bilal Rehani Waikela Msikiti wa Kichangani:
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Sheikh Shaban Rashid Msuya, mwanafunzi wa sheikh Hassan Bin Ameir 1950s

    SHEIKH SHABAN RASHID MSUYA MWANAFUNZI WA SHEIKH HASSAN BIN AMEIR 1950s John Iliffe anasema historia ya TANU nyingi ipo kwa watu. Hili mimi nimelishudia mara nyingi. Aliyonieleza Sheikh Shaban Rashid Msuya jioni moja tukiwa tumekaa kwenye ukumbi wake Ugweno Kata ya Kifula sikuyategemea. Awali...
Back
Top Bottom