mbere
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 6,967
- 6,469
Mkuu nipo dar es press uko wapi hapa? Nipo kwa dj
Mkuu nipo dar es press uko wapi hapa? Nipo kwa dj
Sasa speed 30 unatembeaje kwamfano !tatizo ni wewe.. hivyo jibadili.. hakuna la kulaumu serikali.
Mwendo kasi wa kilo mita 120 kwa saa kwa basi ni sawa na gari dogo 140 sawa kinacho leta taabu ni ubovu wa barabara magari na uzembe wa madereva.
Dreva aliye makini kuangalua mapungufu hamna taabu.
Wazembe wanapinduka na materekita na puna na guta
YeahKumbe madereva wanaogopa tochi sio sheria za usalama barabarani
Una like tu husemi uko wapiNipo kwa do hapa mvua inanyesha uko wapi?
Una like tu husemi uko wapi
Habari wakuu nipo safarini naelekea Arusha....kwa speed hii nahisi tutafika Arusha saa 7 mchana........
Najiuliza leo wazee wa tochi wamejisahau au ndio mambo ya mlungula.......
NB
Nimepanda Dar express ya Nairobi.....
![]()
Aise wee jamaa chenga kweli si ulisema unakaribia korogwe?Nimeshukia Himo kidogo mkuu.......!!!!!
Nimeshukia Himo kidogo mkuu.......!!!!!
Sasa speed 30 unatembeaje kwamfano !
Sasa si bora waseme hairuhusiwi kuendesha gari eneo hili tujue.