Leo hakuna tochi njia ya Moshi Arusha!!??

Leo hakuna tochi njia ya Moshi Arusha!!??

Mwendo kasi wa kilo mita 120 kwa saa kwa basi ni sawa na gari dogo 140 sawa kinacho leta taabu ni ubovu wa barabara magari na uzembe wa madereva.
Dreva aliye makini kuangalua mapungufu hamna taabu.
Wazembe wanapinduka na materekita na puna na guta

!
!
Acha uongo wewe.....
Wale wale wanaoamini kilo moja ya mawe ni nzito kuliko kilo moja ya sufi.
 
Ww furahia na mwendo huo, badala ya kuwajulisha sumatra au police. Mkipata ajali uje utuambie
 
24054c318e623602670f52c539fadc9d.jpg
d09e7e70c48164f23eb219cb266e7f07.jpg
62285e46c69cc763c0fb6e1adc9280d8.jpg
 
we mwongo naendesha lori npo segera na sijapisha na bas yeyote
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hapa ndipi ninapowapendea watanzania wenzangu. Gari likikimbia furaha, likienda polepole chuki, likipata ajali makosa ya dereva. Daaadek!
 
Dar exp ya Nairobi kumwaga moto ni kawaida kabisa mkuu...
Ila mkifika Same mnatulizwa kwanza mpaka saa saba kama sikosei ndio wanawaruhusu.
Hapo kina Dar Lux,Tahmeed,Modern coach zote zinawakuta na mnaondoka kwa pamoja.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Habari wakuu nipo safarini naelekea Arusha....kwa speed hii nahisi tutafika Arusha saa 7 mchana........

Najiuliza leo wazee wa tochi wamejisahau au ndio mambo ya mlungula.......

NB
Nimepanda Dar express ya Nairobi.....

ab227a95c3c02fc52228106cbb9fd85f.jpg
Kumbe madereva wanaogopa tochi sio sheria za usalama barabarani
 
Habari wakuu nipo safarini naelekea Arusha....kwa speed hii nahisi tutafika Arusha saa 7 mchana........

Najiuliza leo wazee wa tochi wamejisahau au ndio mambo ya mlungula.......

NB
Nimepanda Dar express ya Nairobi.....

ab227a95c3c02fc52228106cbb9fd85f.jpg
Naona upo ndani ya G7
 
Lowassa alienda Ikulu kwahiyo wanajadili, tochi utakutana nayo wakati unarudi mkuu.
Btw nikutakie tu safari njema kiongozi.
 
Nimetoka Moshi juzi nimekamatwa zaidi ya Mara saba .
Speed ndogo sijui kwanini inanishinda siku hizo.
Yani nikifika kwenye kibao cha 50 napunguza ila baada ya sekunde kadhaa naukuta mshale wa speed unasoma kwenye 80.
Kwa kweli serikari iangalie hizi speed limit ni ndogo sana wengine magari hayarusu kutembea na speed hiyo!.
 
tatizo ni wewe.. hivyo jibadili.. hakuna la kulaumu serikali.
 
Sio kila gari ya abiria inapigwa toch. Madereva weng i wa mabasi wanajuana na wapiga toch so nimwendo wakuwasiliana tuu sehemu walipo na mihamala kwa sanaa dereva ni kuswagua gia tuu
 
Back
Top Bottom