Leo Bungeni katika Picha.

Ovyoooo....nyie madogo muibe Sana huu mwaka mmoja na nusu uliyobaki
 
Wanaonekana ni damu changa, tunategemea michango na hoja zenye kujenga nchi na sio majungu, taarabu, vijembe na matusi
 
Hivi huyu mama kikwete kaenda kama nani...kwani huyu mtoto wake?
 
Acha tuangalie watu wakigawana Keki ya Taifa ado ado maana aliyenacho aongezewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…