Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,055
- 781
Mkulu Bujibuji unapenda sana kiti moto??????????Usijali Arusha kuna mahali inachemshwa na kuchomwa karibu!!!!!!!!!senene tamu kushinda nyama ya ng'ombe, ila haiifikii kitimoto
Mkuu Bujibuji, nadhani huwa unapasapsa zile nyama! jaribu kuonja na kongoro lake, hutabanduka mkuu.senene tamu kushinda nyama ya ng'ombe, ila haiifikii kitimoto
miguu ya kitimoto ni nomaaaa!!Mkuu Bujibuji, nadhani huwa unapasapsa zile nyama! jaribu kuonja na kongoro lake, hutabanduka mkuu.
senene tamu kushinda nyama ya ng'ombe, ila haiifikii kitimoto
senene tamu kushinda nyama ya ng'ombe, ila haiifikii kitimoto
nasikia wameshaanza kujichana tayari, yaani mpaka hamu!
View attachment 41995
Ta Lukindo ya Ibwera..au Hao senene banaaa .Mimi tarehe 15/12/2011.Nitakuwanao pale sokoni Bukoba wate wasikate..Nikitoka hapo naende WALKGURD HOTEL kupata CASTLE LITE BARIDIIII
unataka rejao na Faiza foxy waandamane wewe
Mkuu Bujibuji, nadhani huwa unapasapsa zile nyama! jaribu kuonja na kongoro lake, hutabanduka mkuu.