Kwa mujibu wa tume ya uchaguzi leo watanzania wanaanza kusikiliza sera,hoja,kejeri na mambo mengi kutoka kwa wagombea wa nafasi mbalimbali.
Ombi langu kwa wagombea wote bila kujali chama au itikadi yako mjikite kwenye hoja" mtuambie ninimtatufanyia na mnampango kazi upi utakao wawezesha kufanya hayo mnayo tuambia ilikututoa hapa tulipo.
Lakini sio kufanya kampeni za matusi, dharau baina yenu,mjitaidi kufanya siasa za staa watanzania saizi maisha yamesha wafundisha ni waelewa sana."
Naomba kuwasilisha.