Lenovo P780 au Lenovo A860

Lenovo P780 au Lenovo A860

ITEGAMATWI

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2012
Posts
5,373
Reaction score
4,141
Nahitaji simu tajwa hapo juu kwa anayeiuza au anayeweza kunipatia msaada wowote wa namna ya kuipata yoyote kati yao naomba tuwasiliane hapa hapa jamvini.
 
Nikuagizie eBay kama utapenda hadi ifike hapa tayarisha 350k
 
Nikuagizie eBay kama utapenda hadi ifike hapa tayarisha 350k

Mkuu ngoja tusikilizie na wengine kama inaweza kupatikana haraka, ikishindikana tutatumia njia yako but itabidi bei tuipunguze kidogo kwa 350 ipo juu sana.
 
Mkuu ngoja tusikilizie na wengine kama inaweza kupatikana haraka, ikishindikana tutatumia njia yako but itabidi bei tuipunguze kidogo kwa 350 ipo juu sana.

Mkuu inauzwa dola 150 hadi dola 180 Mimi sifaidiki na chochote hapo
 
Back
Top Bottom