Lenovo laptop ram 4gb inahitajika

mge

JF-Expert Member
Dec 19, 2013
558
179
Duka gani naweza kupata laptop mpya aina ya lenovo ambayo ina ram 4gb? Naona kila nikipata inakuwa na ram ya 2gb. Naomba msaada!
 
kwa laptop mpya kawaida ram inaendana na specifications nyenginezo, ina kuwa ngumu kwa laptop ya processing speed 2Ghz uikute ina ram ya 4gb,
kama kweli unahitaji computer yenye Ram 4, huwa inahitaj processor ya kuanzia 3Ghz na kuendelea, na computer yenye sifa hizo bei yake huwa imechangamka,
 
Kama sh ngapi??
 
Duka gani naweza kupata laptop mpya aina ya lenovo ambayo ina ram 4gb? Naona kila nikipata inakuwa na ram ya 2gb. Naomba msaada!
kuna Lenovo core i3 4GB RAM,500 GB HDD,hio full imetumika kama miezi miwili now hipo tu geto kama utaitaji nicheki Pm tufanye biashara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom