omary khamis
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 402
- 77
Je hio inafaa kwa bei ya laki mbili na ishirini?? Nimeleta kwenu wataalam kabla sijanunua naomben ushaurii
processor ni celeron auJe hio inafaa kwa bei ya laki mbili na ishirini?? Nimeleta kwenu wataalam kabla sijanunua naomben ushaurii
Daah mkuu selewprocessor ni celeron au
specify kila kitu
ni processor ipiDaah mkuu selew
Ahaa core !3@1.7ghz mkuuni processor ipi
eg
core 2 @duo 1.7ghz
core i3 @1.7ghz
celeron @1.7ghz
Km unainunua hiyo iko poa kwasbb kwa fedha hiyo huwezi kupata pc yenye specification km hizo. Hiyo dukani mpya nikuanzia laki 4 na nusu mpaka laki 5. ChukuaNasubiria mawazo wetu wakuu ili nijue kua nichukue au veep?? Nisije nikaingia mkenge
Okay pouwaaaKm unainunua hiyo iko poa kwasbb kwa fedha hiyo huwezi kupata pc yenye specification km hizo. Hiyo dukani mpya nikuanzia laki 4 na nusu mpaka laki 5. Chukua