jumbep
Member
- Aug 20, 2014
- 74
- 129
Habari wanaJF?
Mara nyingi nilikuwa mfuatiliaji wa nyuzi nyingi hapa JF, lakini sasa nameamua kujitokeza kuuliza jambo fulani linalonichanganya. Naamini nitapata msaada hapa JF.
Ni hivi, lengo kubwa la kumkeketa mwanamke au mtoto wa kike ni lipi hasa? Wanawakeketa ili iweje?