Lengo la UKAWA ni nini?

Lengo la UKAWA ni nini?

Nchi ikiwa mikononi mwa ukawa, hali itakuwa mbaya sana.
Udini, ukanda ndo ilani yao kuu chini ya mwamvuli wa ukombozi.
Ukawa hatuwataki

Mtu akiishiwa hoja atakimbilia tu kwenye udini, ukanda na ukabila. UKAWA ina wagombea wa ubunge na udiwani kila jimbo la uchaguzi nchi hii. Na kuna wagombea wa kila dini na kabila. Sasa hayo mambo yenu ya udini, ukanda na ukabila yanatoka wapi? Mmeishiwa hoja.
 
Nchi ikiwa mikononi mwa ukawa, hali itakuwa mbaya sana.
Udini, ukanda ndo ilani yao kuu chini ya mwamvuli wa ukombozi.
Ukawa hatuwataki

Kuna majimama ya kichagga yale yaliyoishi maisha ya ubachera mitaani kibao eti ndo huwa yanazunguka kumfanyia jamaa yao mgonjwa kampeni huku yakiwalaghai wananchi, huwa najiuliza hii mijimama ya hivi yenyewe hata maadiri ya kijamii haina, sasa inapata wapi nguvu ya kumnadi huyu fisadi,? baadae nagundua ndege wafananao huruka pamoja ..na ajabu ukikaa pembeni ukawasikiliza wanaongea, utasikia wanaongea ya moyoni, kisa? kumbe eti kwa vile ni wa kwao.
 
Mtu akiishiwa hoja atakimbilia tu kwenye udini, ukanda na ukabila. UKAWA ina wagombea wa ubunge na udiwani kila jimbo la uchaguzi nchi hii. Na kuna wagombea wa kila dini na kabila. Sasa hayo mambo yenu ya udini, ukanda na ukabila yanatoka wapi? Mmeishiwa hoja.

You can't afford to bribe and trick our minds, siyo ugomvi, tumewakataa basi na inatosha, hatuwataki ..kwanini kila mtu awaseme nyinyi tu ama nyie ndo wazuri sana?
 
Naona lumumba mnakanyagana hapa baada ya kula kiepe cha buku saba!

Udini, Ukabila, ukanda, ugonjwa, fisadi,......! Ongezea mengine!
CCM 25 October no more! ! !
 
Hawa jamaa wanatanguliza udini na ukanda ni watu wabaya sana sio wa kucheka nao kabisa.
 
Ukawa wanatanguliza ukanda kila kona wanafikiri watu hawatambui hilo,wote wanaojitambua kama Dr Slaa hawawezi kuwa pamoja nanyi.
 
Mipango ya CCM kugawa watu kwa propaganda za uongo imeshindwa. Miaka hamsini ya utawala bado uongo ndo nguzo yao, aibu tumewagundua na kura hatuwapi n’go .....
 
Mipango ya CCM kugawa watu kwa propaganda za uongo imeshindwa. Miaka hamsini ya utawala bado uongo ndo nguzo yao, aibu tumewagundua na kura hatuwapi n’go .....

Na mipango ya Lowassa kuingiza udini Tz kamwe haina nafasi, ajiandae kurudi umasaini akachunge panya huko mbugani
 
Lengo lao ni kuona nchi inaingia ktka machafuko,maana wanatanguliza sana udini.
 
Na mipango ya Lowassa kuingiza udini Tz kamwe haina nafasi, ajiandae kurudi umasaini akachunge panya huko mbugani

Kweli huyu mzee arudi akachunge huko umasaini nahisi hata ubalozi wa nyumbakumikumi kwa sasa hapati.
 
Pole huelewi lengo letu tunataka kupata Uhuru kutoka kwa mkoloni mweusi
 
mi hapa najibu swali mengine hayo ni upuuzi tu, ukawa lengo lao ni 1 kuing'oa ccm 2 katiba ya w'nchi kinafata maendeleo
 
Hata mseme vipi mabadiliko ni lazima. Hatudanganyiki ng'o!!
 
LENGO LA UKAWA NI NINI??

Najaribu kutafakari kwa kina,hivii huu Umoja wa Katiba(Ukawa) ni kweli una nia thabiti ya kumkomboa raia au kuna jambo nyuma yake.CDM ndio chama kikubwa kwa umoja huo,chama hicho ndo kimekuwa mstari wa mbele ktk kuhakikisha kinaitoa dola madarakani!Najiuliza mbona viongozi wakuu wa CDM karibu asilimia kubwa ni wa kaskazini?alaf pia katika utendaji wao wa kazi ndani ya hiyo UKAWA hawa jamaa wamekuwa mstari wa mbele sana kuwatetea wakaskazini kwa haraka kuliko wengine!

MATHALANI,alipowekwa ndani Masha ilichukua muda mrefu sana kumtoa ilhali wanapowekwa ndani wakaskazini hali inakuwa tofauti,Mwenyeki wa NLD kule jimbon kwake wananchi walitamka mbele ya DUNI kuwa hawamtaki,CDM hawakutoa kauli yoyote juu ya hilo,kule Vunjo napo kulitoa vuguvugu kama hilo ila MBOWE alidiriki kunyanyua kinywa chake na kusema jambo!Nahis Lipumba aliona mbali,Mzee makaidi anaadhirika nao,babu Duni keshakata tamaa,hata siku moja huwez jenga nyumba ya mwenzako we yako inavuja!

Mi nahisai kwa sasa UKAWA ni kama vile Umoja wa Kabila la Wachaga:Watanzania tujiulize,hawa jamaa wana nia gani na watanzania??

TAFAKARI
Tumekusoma wasap,hivi nami nikuulize kwanini wafuasi wa chama tawala mnajiita majina ya
ajabu ajabu hivi mna maana gani,mathalani: jingalao,msalani,wewe mwenyewe wasap n.k
hivi mnafikiri kabla ya kujibatiza?
 
Last edited by a moderator:
UKAWA inaimbwa kila siku, kila kona, kama huelewi malengo yao mpaka sasa, wewe ni kilaza, au unajitoa ufahamu. Tafakari mwenyewe.
 
Shida yetu ni kuitoa CCM Ikulu hayo mambo mengine baadae...Hatuelewi kitu hapa...mpaka Ccm Ing'oke Ikulu....!!!!!
 
Back
Top Bottom