LENGO LA UKAWA NI NINI??
Najaribu kutafakari kwa kina,hivii huu Umoja wa Katiba(Ukawa) ni kweli una nia thabiti ya kumkomboa raia au kuna jambo nyuma yake.CDM ndio chama kikubwa kwa umoja huo,chama hicho ndo kimekuwa mstari wa mbele ktk kuhakikisha kinaitoa dola madarakani!Najiuliza mbona viongozi wakuu wa CDM karibu asilimia kubwa ni wa kaskazini?alaf pia katika utendaji wao wa kazi ndani ya hiyo UKAWA hawa jamaa wamekuwa mstari wa mbele sana kuwatetea wakaskazini kwa haraka kuliko wengine!
MATHALANI,alipowekwa ndani Masha ilichukua muda mrefu sana kumtoa ilhali wanapowekwa ndani wakaskazini hali inakuwa tofauti,Mwenyeki wa NLD kule jimbon kwake wananchi walitamka mbele ya DUNI kuwa hawamtaki,CDM hawakutoa kauli yoyote juu ya hilo,kule Vunjo napo kulitoa vuguvugu kama hilo ila MBOWE alidiriki kunyanyua kinywa chake na kusema jambo!Nahis Lipumba aliona mbali,Mzee makaidi anaadhirika nao,babu Duni keshakata tamaa,hata siku moja huwez jenga nyumba ya mwenzako we yako inavuja!
Mi nahisai kwa sasa UKAWA ni kama vile Umoja wa Kabila la Wachaga:Watanzania tujiulize,hawa jamaa wana nia gani na watanzania??
TAFAKARI