Lengo la press conference ya Butiku ni lipi?

Lengo la press conference ya Butiku ni lipi?

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,534
Reaction score
31,198
Sijui ni nani msimamizi wa jambo hili linaloitwa press conference nchini .

Kwa maoni yangu ni kwamba kila mwenye fedha anaitisha press conference na hakuna wa kumbabaisha.
Tabia hii itakomeshwa lini?
 
Sijui ni nani msimamizi wa jambo hili linaloitwa press conference nchini .
Kwa maoni yangu ni kwamba kila mwenye fedha anaitisha press conference na hakuna wa kumbabaisha.
Tabia hii itakomeshwa lini?
Freedom of speech is a constitutional right and isn’t negotiable!
 
Butiku anatumika vibaya, anaonyesha katumwa na Samia. Kitendo cha kukaribisha Kikwete ambaye naye ni muhusika wa matatizo ya October 29, ni kitendo cha ovyo sana. Butiku anasema tume ya uchunguzi imejaa watu wazito. Hatuhitaji watu wazito, kinachotakiwa na Integrity of the process ya kupata hiyo tume. Butiku has failed kutumika baada ya mzee Warioba kukataa kuwa sehemu ya ujinga
 
Itakoma pale kizee kimoja kitakapopigwa makofi kama aliyopigwa warioba na makonda.
 
Mzee Buti Kuu aliitaja kandarasi ya maridhiano kwamba kigoda cha Mwalimu kitashiriki.

Anaandaa mazingira ya kulivaa gunia Hilo la misumari. Kaanza na Leo kuchezesha cheusi chekundu.
Kwahiyo Butiku ndiye mkandarasi mkuu (main contractor) wa maridhiano!?
 
What about freedom of press conference?
As you may already know, a press conference is just a formal event where individuals (politicians, CEOs, etc.) present information and answer questions from journalists (the press). It's a vital tool for disseminating news and providing context.

What matters here is the Freedom of the Press, which is a constitutional right that allows individuals and media organizations to report news and share information without government interference, censorship, intimidation or punishment. It helps to ensure journalists are independent of the government, keeping the public informed and holding those in power accountable.
 
Polepole alituonya kuhusu huyu mzee Butiku! Tusirubuniwe nae kwani alijua yatakayo tendeka. Anaongelea wazee wa hekima. Sisi tunamjua mmoja tu Joseph Sinde Warioba! Ni mzalendo na mkweli!
 
Sijui ni nani msimamizi wa jambo hili linaloitwa press conference nchini .

Kwa maoni yangu ni kwamba kila mwenye fedha anaitisha press conference na hakuna wa kumbabaisha.
Tabia hii itakomeshwa lini?
Kumbe wewe ni kilaza tu, press ile ni project ya CCM na dola, Mzee anauma na kupulizia nia ni kutaka watu wamuamini na kumkubali then anapenyeza hoja ya maridhiano. Kama hukuliona hili basi nyie ndiyo chawa hoya hoya hamjui nini kinaendelea huko jikoni. Mzee Butiku ni snitch tu na hatumtaki mnafiq mkubwa.
 
Snitch Butiku anajaribu kucheza karata ya kurudi kwa wananchi. AKATALIWE HUYU MZEE
 
Butiku is a traitor! and Mao Tse-Tung said: a traitor should be identified, exposed, and punished
 
Sijui ni nani msimamizi wa jambo hili linaloitwa press conference nchini .

Kwa maoni yangu ni kwamba kila mwenye fedha anaitisha press conference na hakuna wa kumbabaisha.
Tabia hii itakomeshwa lini?
Unaishi kizee japo ni dogo. Naona wizi wa kura na mauaji uanwatesa hadi hamtaki watu waongee kwa kuogopa uchafu wenu kuwekwa hadharani.
 
Nimeona leo nyuzi za kumponda Butiku kama 5 ndio sasa nimeelewa kumbe kuna kandarasi imetolewa jana baada ya urejeo wa ID kadhaa hewani ikiwemo hii ya jinga lao.

Mmechelewa sana kumkataa Butiku, wengine tulimkataa tangu October 7 mwaka jana.
 
Back
Top Bottom