Bernard bakari
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 407
- 781
Lengo la kutoonesha bunge live tuliambiwa ni kubana matumizi kwamba TBC hutumia pesa nyingi sana wakionesha matukio hayo mubashara siasa mara kadhaa nimekuwa nikiwaona TBC wakiwa mubashara mara kwa mara hasa pale Rais akiongea hata akiapisha mtu najiuliza hizo gharama ni kwa mhimili huu wa bunge tu au tatizo si gharama kuna mambo ya kisiasa??