jsenyinah
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 249
- 339
Pombe ni lishe,kinywaji na chakula kinachopendwa sana na mamilioni ya wanadamu duniani kote.
Mtu anapokunywa pombe,humsahaurisha (kwa muda) na matatizo, msongo wa mawazo, madeni, shida, unyonge/upweke na kujiona yeye yupo juu ya mbingu na nchi.Mlevi/mnywaji hujiona yeye ni yeye, yeye ni raia namba moja hapa duniani. Wengi hupenda kunywa pombe nyakati za jioni.Kwa hapa Tanzania, pombe hunywewa zaidi ya soda.
Kuna ambao wakinywa pombe,huanza kuongea kiingereza mpaka kichina...na kuna ambao hugeuka mabondia!
Pombe humkumbusha mtu mambo mengi ya zamani na huleta hisia kali. Pombe huleta ujasiri.
Japokuwa pombe huleta hasara kiuchumi, imekuwa n vigumu sana watu kuacha/kupunguza pombe. Na mara nyingi wanywaji wengi hubajetia pombe toka kwenye mishahara (vipato) vyao,hata kama mshahara/kipato kiduchu namna gani.
Kwe wanaotumia pombe, unafikiri nn lengo la kunywa pombe?
Nawasilisha.