cheetah255
JF-Expert Member
- Oct 19, 2017
- 1,373
- 2,385
Moja kwa moja niende kwenye mada bila kumumunya maneno wala kupepesa macho.Lengai ole sabaya tumeona uwezo wako wa kujenga hoja kuongeza kwa uweledi na kutetea wananchi wanyonge.Niwazi kabisa huko ulipoteuliwa kuwa DC unamudu majukumu na utendaji wa haliya huu kabisa nikupe Kongole kwa kukubalika na wanachi wa hao kiasi kwamba umewafanya waelewe mbivu na mbichi ni zipi hadi kujutia kumkabizi jimbo lao mbowe na chama chake.
Piga kazi hapo hai kama DC ila ukumbuke arumeru unasubiriwa na wananchi ukachukue jimbo kwani wananchi hawajui kama wana mbunge au walichagua sanamu,kwakweli unahitajika sana arumeru zaidi ya oxygen kwa mgonjwa anayefanyiwa upasuaji.Uende arumeru Tafadhali ukaokoe wananchi wako tena ukifika usisahau kuwatembelea jirani zetu pale Arusha mjini uwape pole kwa kumuamini mkora aliegeuza jimbo kuwa kituo cha vurugu huku akijua kabisa Arusha ndio moyo wa uongozi bora na maadili ya nchi hii.Fanya hima maliza mabaki ya chadema hapo hai uende arumeru.
Onyo:Ni marufuku wachaga kucoment kwenye huu uzi nendeni kaanzisheni bandiko lenu.