LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,193
- 14,900
Una maanisha Ccm ni chama cha ukoo??Anapita...babaake ni mkiti wa CCM mkoa arusha
Una maanisha Ccm ni chama cha ukoo??Anapita...babaake ni mkiti wa CCM mkoa arusha
Mungu huyo huyo unayemkosea wewe kila siku na anakusamehe unapotubuMungu wa kaliba gani anamuongelea?
Mungu huyo huyo unayemkosea wewe kila siku na anakusamehe unapotubu
Ni huyo huyo anayemsema Sabaya
Mungu wa rehema asiye na mawazo kama yenu binadamu, ndiye anayemsema Sabaya
Mungu anayeamua kumridhia yeyote hata masikini anamridhia na kukmalisha na wakuu
Ni huyo huyo anayeinua watu na kuwashusha
Na jina lake yeye huitwa, NIKO AMBAYE NIKO, ADONAI, ELIGIBLE, ELISHADAI, YAHWEH, ndiyo huyo atakayesema ndiyo au hapana
Na kwake yote ni mema
Hapana, sijakuhukumu Mkuu,Unajuaje huyo ndo Mungu wangu? Unanihukumu bila sababu, Mimi nimekueleza Mungu wangu ni yupi? Au unanipangia?
Mahakama ilimwachia huru baada ya kumkuta hana hatia yoyoteAnamlikia Mungu yupi huyo muuaji na fedhuli, laana na damu za watu zitamtafuna mpaka mwisho, stupid kabisa
Kwenda wapi?Anapita...babaake ni mkiti wa CCM mkoa arusha
HaaaaaaaaaaKijana machachari asiye vumilia wazembe na wababaishaji na aliyeweza kumsitafisha siasa Freeman Mbowe kwenye jimbo lake la Hai ,bwana Lengai Ole Sabaya leo tarehe 1 July amechukua fomu ya kuomba kugombea ubunge katika jimbo la Arumeru magharibi.
Lengai Ole Sabaya mara baada ya kuchukua fomu alikataa kuongea chochote na waandishi wa habari na kuishia kutoa kauli ya kwamba anamwachia Mungu afanye kazi huku akiondoka kwa kuangua kilio, hasa anapokumbuka namna siasa ilivyomjeruhi pale alipobambikwa tuhuma mbalimbali za uongo na Chadema.
Nenda mahakamani.Haaaaaaaaaa
Hata majambazi na wauaji nao wanautqkq ubunge? Makubwa haya mungu wangu.
Hivi ccm mnatuchukuliaje nyie??
Mahakamani kufanya nn wewe mjane wa magufuli? Vipi ulishajifungua?Nenda mahakamani.
Mnafiki mkubwa wewe